Style hii ya migomo ni utoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Style hii ya migomo ni utoto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yusufummaka, Jul 31, 2012.

 1. y

  yusufummaka Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimakosa kutaka kuweka kitasa kipya kwenye mlango ulioliwa na mchwa (mbovu), kaa kitako, tafakari na amua kuchonga mlango mpya ili viendane na kitasa kipya unachotaka kuweka. Mlango umeoza kila kona kwanini unahangaika kutaka kuwekewa kitasa kipya? kitawekwa wapi?. Hata kama utagoma huwezi kupata mafanikio unayokusudia sanasana walimu mtawaumiza watoto wa kaka na dada zenu huku mitaani na vijijini, wale watoto wa wanaowapunja mishahara hawasomi shule mnazofundisha ninyi. Mgomo sahihi ni wa kuwaondoa wanaowapunja maslahi yenu, bassiii! sio kugomea kuwafundisha watoto wa walalahoi. Tabia hii itasababisha watoto wa watawala waendelee kutawala nchi hii, maana wao hawajui kama kuna mgomo wanajiandaa vema na kufanya mitihani ya NECTA. Acheni ushamba kazeni buti, wekeni akili zenu kwenye elimu ya watoto wa masikini ndio watakaolikomboa taifa hili.
   
 2. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,363
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  None- sense.
   
 3. M

  MI6 Senior Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumwita mwl alokufundisha hadi unajua kusoma ni mshamba ni LAANA YA HATARI AISEE.
  TUEWAACHE WAGOME WALA TUSIWAPUUZE WALIM WETU.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo tubadili mlango na mchwa wako palepale........what a way of thinking!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Bun inanifuata!
   
 6. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,756
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  mtoto ni wewe ambaye hujui maana ya migomo!
  si umeshakunywa uji?? haya kakojoe ulale
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Sijaona hoja eti mtu udhukuniwe usubiri hadi 2015 ambapo wana uhakika wa kuchakachua.

  Kama mbwai mbwai bwana acha kufikiri kwa kutumia jina la meya la jiji la D'Salaam.
   
 8. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kiazi ni kiazi tu
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  Makundi ndani ya CCM yanafanya nchi isitawalike
   
 10. N

  NG'ONGOVE Senior Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha wagome ni haki yao ya kikatiba kueleza hisia zao kwa mwajili anaye watreat kama yatima
   
 11. s

  sekiabi New Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanzo wa harakati,mambo yatajipa mbele
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nafikiri huyu jamaa alitaka waalimu wauwe mtu ndiyo ijulikane kuwa wanahaki wanayoidai. Nimeamini huwa kuna watu hawaelewi kabisa mambo yanayendelea hata kama yakielezwa magazetini na maredioni kwa mwaka mzima. Mtu anakurupuka na mfano ambao auhusiani kabisa, anafikiri utaweza kusaidia kupoteza malengo na madai ya walimu. Kuna watu wanamawazo ya kifisadi fisadi tu, hivyo huwa hawajui shida za watu kabisa.
   
 13. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri umeshindwa kujua sheria wewe. kwanini kwenye sheria waliweka kipengele cha kugoma nafikiri serikali wamesahau kitu wasiseme liko mahakamani ila waseme kuanzia sasa hakuna kipengele cha kugoma katika sheria kwani walishazohea kusaini tu itapita kwani wao si wako wengi bungeni jamani pumbafuu wewe
   
 14. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni aibu sana kuonyesha Udhaifu wako hapa JF.
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Walimu walipwe malimbikizo ya mishahara yao, pesa za likizo na uhamisho. Hizi ni pesa walizozitolea jasho kwa makubaliano halali. Kutofanya hivyo ni dhuruma kubwa.
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siombei hilo lakini kuna siku isiyojulikana bado hii nchi itapasuka puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh tusubiri,kinachotunza usalama wa nchi hii ni woga au sijui nini lakini itafika siku ghafla tu bila hata ya organization yeyote harufu ya damu itaifunika hii nchi.nasisitiza siombei hali hiyo ila dalili naziona.moja tumeanza kuitumia vibaya mahakama kuliko kipindi chochote kile pili tumeanza kuzuiana kuyazungumzia matatizo hata ya kibinaadamu tatu tumeanza kuvifungia vyombo vya habari tusivyovipenda nne tumeanza kuwapora wananchi ardhi na kuwapa wageni tano hatujui lipi la kufanya kipindi gani yaani hatujui lipi baya,lipi zuri,lipi kubwa lipi dogo.kwa kifupi kama taifa hatuko sawia,nawasilisha.
   
 17. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli nimeamini ujinga na umaskini wa watanzania ndiyo mtaji wa CCM, maana ungekuwa umeelimika usingewalaumu walimu bali serikali. Kugoma mbali ya kudai haki zetu pia kuna maana ya kuiamsha jamii isimame na kuiambia serikali fanya hivi kwa ajili ya watoto wetu lakini watanzania wanaanza kulaumu walimu. Tanzania lini mtaamka katika usingizi mzito.

  Juzi mmeambiwa mgao wa umeme ni usanii sijaskia mahali watu wakilaani hata kwa mandamano ufisadi huo. Lakini wakisikia Kikwete kahutubia utasikia kuunga mkono hotuba ya Rais hata kama atahutubia utumbo tu. Watanzania tuache unafiki tuikomboe nchi yetu kutoka katika udhalimu wa viongozi walafi na wabinafsi!
   
 18. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Na yeye anajiita msomi!!
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Nchi imekwama hii,naisubiria kwa hamu tamko la JK la mwisho wa mwezi
   
 20. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,837
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Watanzania ni watu wa ajabu hawajui wanachotaka na hii itaipeleka nchi kutawaliwa na watu wahuni.walimu wanagoma huku ikijulikana wazi utendaji kazi wao haustahili hata kiasi wanachopata sasa.
   
Loading...