Huku ni kuingilia mhimili mwingine wa dola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huku ni kuingilia mhimili mwingine wa dola

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sema Chilo, Aug 1, 2012.

 1. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha wakuu wa wilaya na maafisa elimu nchini kuendelea kuwasainisha walimu mahudhurio ni kuingilia mhimili wa dola, kwani mahakama imeshindwa kabisa kuzuia mgomo wa walimu na tunajua jambo lililo mahakamani halipaswi kuingiliwa. Sasa je hivi hawa maafisa wa serikali yetu hawajui sheria au ubabe au kuwafanya walimu kwamba hawajui sheria? Nisaidieni wana JF.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mi ningependa wafanyakazi wote nchini wagome then kikwete tuone atafanya nini
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  halafu????????????
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ni vitisho wanatumia pia wanajaribu kujikosha kwa mabosi wao kujionesha kuwa wanafanya kazi tukumbuke kuwa hawa maafisa kimsingi ni walimu in case kutakuwa na positive result nao watanufaika tu
   
 5. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  ipo siku haya yatafika mwisho
   
 6. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jana walimu tuligoma kusaini.pia mkurugenzi alimwambia mkuu asiwashughulikie walimu kwan kuna walimu hawakupata mshahara hvyo alkuwa anamgobeza mkuu kuwapa ruhusa ya kwenda kudai mshahara na wakati wamegoma.
   
 7. n

  nyantella JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  hebu shirikisha viungo vyako vyoote kufikiri utapata jibu la hilo unalolitaka!!
   
 8. e

  emalau JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Siku hizi mahakama inatumika kama kichaka cha watawala, kama jambo liko in favour of watawala watajifanya wanaiheshimu, kama liko against them hawatajali.
   
 9. HASSAN SHEN

  HASSAN SHEN JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hilo kweli kaka
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wao wanajiongezea mishahara, posho na safari za nje huku wafanyakazi wanaishi maisha ya taabu wagome alafu watoto wao waende wakafanye hizo kazi
   
 11. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Hayo yote wanayoyafanya sio suluisho la kutatua kushuka kwa kiwango cha elimu cha muhimu ni kuangalia walimu wanahitaji nini na nini kifanyike kuboresha maisha ya walimu, tatizo tulilonalo viongozi nchi hii wanajali matumbo yao na familia zao na wameweka utaifa nyuma.
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  atapata uwajibikaji stahiki.
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ninahofia watanzania wasije kuzoea kukamatwa halafu baadae wazoee kufa hapo taifa halita kuwa salama kwani watu watakuwa hawana cha kupoteza.
   
 14. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr. Busta,

  Nakushauri uongee kwa sauti ndogo. Umesema wewe ni Mwalimu, fine Mr. Mkoba Rais wa CWT hajatuambia sisi watu wengine ambao sio waalimu mambo muhimu:
  1. Mgomo wa Waalimu ni halali kwa mujibu wa sheria that is fine je mliimtaarifu mwajiri wenu kwamba mgomo ni wa itachukua muda gani?
  2. Sheria inamtaka Mwajiri(Serikali) asiwalipe mshahara wote watakoshiriki kwenye mgomo kwa kipindi chote cha mgomo na haisemi mwajiri afanye nini?
  3. Kuna waalimu ambao hawataki kushiriki kwenye mgomo je Idadi Yao ni wangapi ? Na je haki zao ziinalindwaje?
  4. Kuna Shule ziko mbali na Mjini za serikali haswa za bweni je hayo masaa 48 mliyoipatia serikali tena siku za mapumziko hao wanafunzi nini hatima yao when teachers are on strike?

  Pamoja na mgomo kuwa na mwelekeo wa kukubalika kisheria kuna a lot of un answered questions walimu wetu!,

  My take kwa kuzingatia kwamba walimu wengi wana matatizo makubwa ya fedha huu mgomo sio endelevu na utaparanganyika shortly ikiwa hamna strike fund na endapo Shukuru Kawambwa na Dhaifu watatumia busara ya kuamua kutokuwalipa mshahara angalau wa Mwezi mzima kwa kuwa mishahara yenu haikokotolewi kwa siku! I might be wrong. Mgomo utayeyuka kama barafu. And you teachers have been kwenye mgomo baridi tangu Enzi za Sumaye na Ruksa that is why watoto form one hawajui kusoma wala kuandika and Universty graduates can't write a comprehensive paragraph Nyie wabaya sana!,,,!

  Ushauri tuache kukurupuka Kila Mara na kuchukulia mambo kwa jazba. In short an effective strike should be finite( lazima uwe wa muda maalum) vinginevyo its just like cutting the hand that feeds you. Bado nasisitiza kwenye hizi Ajira just keep on with collective bargains migomo is an old approach ambayo Huko walikoibuni haijawatoa na ndio maana they just call it for 2 or three days.

  Just always think of a plan B Itawasiaidia in future.!!, punguzeni jazba assume you were in the shoes of Dhaifu au Kawambwa??.
   
 15. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  sasa halafu nini? sikaishasema ili tuone Kikwete atafanya nini? haujaelewa nini hapa.
   
Loading...