Pongezi kwa wanachama na viongozi chadema njombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi kwa wanachama na viongozi chadema njombe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMMANUEL MASONGA, Aug 1, 2012.

 1. E

  EMMANUEL MASONGA Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Naomba nitoe pongezi kwawanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo mjini Njombe kwa ushiriki wenumkubwa katika mkutano wa uongozi wa vijana wa chadema ngazi ya taifa (BAVICHATAIFA).Pongezi nyingi ziwafikie wazee walioona umuhimu wa kuwasikiliza vijanana kuhudhuria mkutano kwa idadi kubwa isiyotegemewa,huu ndio wakati wakujikomboa wenyewe kupitia vijana na wazee,na ni mfano mzuri kwa kuisulubu CCMiliyowasahau wazee katika hali zao na kwenda kinyume hata na ilani yao katikakuboresha maslahi ya wazee.Vema ikatambulika mapema kuwakazi ya kulikomboa taifa letu ipo mikononi mwetu wenyewe kama wananchi ,bilakujali umri wala kabila.Ndugu zangu wana NJOMBE napendakuwapa moyo katika juhudi zinazoendelea ili kufikia ukombozi pamoja na kuwambali kwa muda tutaendelea kushirikiana katika kukijenga chama chetu CHADEMAHadi kitakapoeleweka tusitishwe na wimbi la wanasiasa wanaotoafedha,wanaofanaya lolote kunyangÂ’anya haki zetu ila tuendelee kutoa elimu zaidiya kukemea na kuikataa rushwa kwa utashi wetu wenyewe.
  Tuendelee kupingawale wenye nia ya kutugombanisha na kutupotezea malengo yetu ya kulikomboataifa letu.
  KWA WALE WOTE WAPENDAMABADILIKO KARIBUNI CHADEMA CHAMA MAKINI CHENYE VIONGOZI MAKINI TUMAINI JEMA LAWATANZANIA.
   
 2. w

  why JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka huonekani kabisa njombe kaka why?????????????? Mana hata husikiki tena au kweli umekimbizwaaaaaaaaaaaaa nini
  hahahahahaha
   
Loading...