Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Jul 30, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
  I.Munde Tambwe
  2.Sara msafiri
  3.Mwijage
  4.Nasir mbunge wa korogwe

  Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

  Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.
   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Duh! Au ndo siasa za uraisi kama mwana kwetu Zitto anavyosema!!!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kwani ni lazima zitto atajwe hata kama hayumo.
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,297
  Likes Received: 13,005
  Trophy Points: 280
  jamani kwani alipokuwa anachukua hiyo rushwa ulikuwa nae?
  Zito amezikana hizo shutuma mara kibao nadhani kutotajwa kwake ina maanisha hahusiki
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  si mtaje wewe, kwani hadi utajiwe ndio uridhike.
   
 6. m

  mamajack JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  heeeeee,kwani lazima amtaje zitto hata kama hayumo??after all spika kiloboto ndiye alipaswa ataje.lakini zito kama yuomo atatajwa tu,na kama hayumo hatatajwa.
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Sasa we amtaje mtu hata kama hana ushahidi.? Tumia basi akili na hata kama ni kweli hatupendezwi na mienendo ya Zitto lakini evidence na facts ni muhimu ktk kutaja majina ya watu order kuondoa disputes.
   
 8. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Sasa kama Maswi alishamtaja Zitto, ulitaka Lissu amtaje tena wa nini?
  Iko wazi tu kwamba, Lissu amewataja wale ambao hawakutajwa na Maswi!
  Hata huko kuwataja tu hao sio jambo dogo, na tunapaswa kumpongeza Lissu kwa hatua hiyo sio kuleta porojo zisizo na mashiko kwenye jukwaa....
  Tuambie kuna Mbunge gani mwingine aliyewahi kuwataja Wabunge wala rushwa, ukiondoa Kafulila alipowataja akina Zambi?
  Hongera sana Lissu kwa hatua hiyo, tunaamini Wabunge wengine wenye ujasiri kama wewe watafuatia!
   
 9. g

  gabz Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zito kama yumo angetajwa ana kama yumo but anafichwa itajulikana tu let just be wavumilivu...hii ni list ya Lissu tusubiri ya ccm yawezekana bw zitto yumo
   
 10. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  wadau wa jf,
  tusubiri kamati ya maadili ya bunge then tutajua ni akina nani. kila mtu atasema lake sasa. kamati isipowataja after one week, mbatia katamka atawataja live. lets wait.
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  ZITTO alimtaja karamagi.
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Zitto alishatajwa na maswi hivyo si lazima lissu amtaje tena...ahsante kamanda tundu lissu
   
 13. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Charles Mwijage si ndiye inasemekana ana maslahi Tanesco?
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mwana jf kwa kashaf hizi za rushwa bungen bado una imani nalo????? Likuteteee
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kila siku tunalalamika kwanini polisi wanajichunguza wenyewe badala ya kua na tume huru..sasa cdm kama na wao wanajichunguza wenyewe...haki itatendeka kweli hapo
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  tulia ongea taratibu
   
 17. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,119
  Likes Received: 7,368
  Trophy Points: 280
  Akamtaja Mkullo!!
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Sina imani na bunge kabisa tangia walivyoongwa na ssra wao mafao wanachukua sisi hatuchukua mpaka 55 na bado wanakula milungula hila mwaka huu lazima kuwa-"nyimamadogookumanga"
   
 19. piper

  piper JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nafikiri ukimtaja mtu inatakiwa ushahidi uwepo ready handed, so may be alowataja ana ushahidi wao, so km Maswi ana ushahidi wa Zito mwambie afunguke
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wewe jamaa unachekesha sana sasa unataka kulazimisha kwa mapenzi yako ZZK atajwe wakati hayumo...kama wewe una ushahidi taja JF sio sehemu ya porojo.
   
Loading...