Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali Haina pesa za kuboresha huduma za afya na mazingira ya Kazi na mishahara pamoja allowances kwa Drs, serikali Haina nia ya kuongezea waalimu mishahara! Sababu Haina uwezo. Mimi na familia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Bahi Omar Badwel amesema kesi yake ya rushwa inayo mkabiri imetengenezwa kwa lengo la kumuua kisiasa,amesema njama hizo zimepangwa na wanasiasa na Takukuru Makao makuuu,alisema...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Kwanza naomba itambulike wazi kuwa watanzania wengi wamekubali mabadiliko na wanahitaji pa kupatia mabadiliko na matumaini ya kweli. Watu wengi sana sasa wanahitaji Katiba za CHADEMA kwa udi na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wabunge wamekomaa mheheshimiwa membe awataje wahusika rushwa ya rada!eti wahusika hawajulikani huku tunadai chenji Waziri Mathias Chikawe amemtetea anasema hakuna ushahidi, akaendelea kwamba kama...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kasema ni wahuni wachache walioitengeneza! Taarifa yenyewe katika JF ni hii hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/216505-waingereza-wamnanga-rais-kikwete.html Sehemu ya hotuba ya...
19 Reactions
128 Replies
11K Views
Hili bunge letu limeundwa na wabunge wengi wasaio na uzalendo kabisa.Hivi kweli inaingia akilini kwa bunge zima kuridhia watu ambao wanatuhumiwa kwa ufisadi na rushwa kupewe uenyekiti wa kamati za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani hivi Mnyika kafikia wapi kwenye kuzitafuta hizo sign za kuleta mswada.Au kaamua kuzipotezea
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Akichangia jioni,mbunge mmoja wa ccm amehoji matumizi makubwa ya Pesa kwa viongozi wa CWT makao makuu. Amesema kuwa wakati viongozi makao makuu wakitumia zaidi ya biliön 8,ni bilion 1 tu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaam, Kwa makusudi kabisa nitaendelea kuepuka kuzungumzia mambo magumu kwa Mtanzania wa kawaida kama vile utafiti wa gesi/mafuta, ofisi za ukaguzi Malaysia, jengo la ubalozi Marekani nk...
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Serikali imesema Bungeni leo kwamba mojawapo ya vigezo vilivyotumika kuwagawia vigogo viwanja vya eneo la Gezaulole lililopo Kigamboni ni pamoja na uwezo wa waombaji kuendeleza eneo husika...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
ADC - DIRA YA MABADILIKO ADC - TUMAINI LA MTANZANIA Madhumuni yetu ni: 1. Kushika Dola kwa njia halali na za kidemokrasia. 2. Kujenga Umoja na Mshikamano imara kwa Watanzania wote. 3. Kujenga...
0 Reactions
134 Replies
9K Views
Katika hotuba ya kambi rasmi ya Upinzani, inayosomwa sasa hivi, wametaka serikali ijibu kwa nini NSSF na mifuko yote haijalipwa hata senti tano kwa kukopwa kwa kujengea UDOM.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu hii hotuba ndiyo imemuinua kitini AG wa Serikali ya CCM. Katetea kwa hoja dhaifu sana jinsi serikali ilivyochomeka kwa hila kifungu cha sheria kuhusu mafao ya kujitoa; Poleni kwa wale wavivu...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Napenda kuwakumbusha ndugu zanguni wote kuwa mkutano wa ufunguzi wa tawi la chadema londo ni leo jioni pale thatched house barking. Mkutano utaanza rasmi saa tatu usiku na milango itakuwa wazi...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Serikali inatarajia kutoa ajira zaidi ya elfu nane mwaka wa fedha 2012/13,je serikali imejipanga kuchukua wataalamu wa ndani?na kwanini wataalam wa ndani hawachukuliwi?anaiomba serikari itoe kazi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kilichotoa roho ya Karume ni kudai soveignity ya Zanzibar ndani ya Muungano. Mzee Hassan Nassoro Moyo anasema yale Madai ya Karume wakati wake umefika.
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Nani ameilaani nchi yetu Tanzania,na kama si nchi basi watu wake wameingia kwenye mkumbo huo,haiwezekani kila anaye jaribu kupitia mlango huu wa kichama kupata nafasi ya uongozi uadilifu wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Read this Heligoland treaty document between German & Great Britain which is the one of the documents used by the Malawi government to argue their case.
4 Reactions
102 Replies
15K Views
nimemsikia naibu waziri wa Afya akiwa anajbu swali la Mh. Mbasha kwamba serikali imejipanga vp ili kukabiliana na changamoto za ugonjwa wa ebola haswa ukizingatia UPO NCHI JIRANIA YA UGANDA? naibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom