Huyu ni mtu anayewania nafasi ya NEC kwa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ni mtu anayewania nafasi ya NEC kwa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bashemere, Jul 20, 2012.

 1. b

  bashemere Senior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  jamaa kumbe ni mtu wa kushobokea mabinti!!
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wanamuonea hizo picha ni yeye alikuwa anaziweka haiku wa Siri; lakini sasa zitampatia shida ndani ya CCM hata Kama sio kweli; wanamuua kisiasa
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Anadhani sifa...LE MUTUZ angalia umri banaa na sifa izo..nilidhanigi una mika 29
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Jamaa kubwa jinga
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa wa ajabu sana halafu huko fb ukimkosoa eti anakublock
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  le baharia le mutuz tulitegemea uwe kwenye timu ya waokoaji kule zanzibar kutokana na uzoefu wako melini,we uko busy na galz!ccm oyee
   
 8. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
  Willy Male sio mtu wa Makamu bali ni mtu mzima haswaaa.

  ameshazima mishumaa ya Birthday takriban 50.

  Ni Baharia mstahafu aliyezunguka Dunia huku akipambana kiume na hatari za kwenye Maji.

  Ni Mgogo ''Alaba'' ambaye ni mmoja wa wale waliotimua vumbi wakikimbia kulambwa Ndonya.

  ni Senior Bachelor.

  Ni Mlokole.

  hajui maana ya kukasirika.

  Ana Porojo na fix na ni muongo na kama hujamjuwa na lile umbo lake kama marehemu Umaga basi unaweza ukajuwa huyu mtu viongozi woooote wa nchi hii ni maswahiba zake.

  Inasemekana kajenga nyumba Tabata kutokana na pesa ya mafao ya ubaharia...good 4 him

  MUHIMU...
  MAISHA ANAYOISHI KATIKA PICHA HUYU BWANYENYE SI MAISHA YAKE YA KILA SIKU, PIA MAJIBU, MAJIGAMBO, UJIVUNI, MASHAUO ANAYOYAPOROMOSHA KILA KUKICHA HUYU TIPWATIPWA SI MAISHA YAKE YA KILA SIKU...
  WILLY NI BINGWA WA KU ACT NA KUCHEFUA BINADAMU WOOTE WASIOELEWA KUWA JAMAA ANAFANYA JOKES.

  NB:
  UKIMUELEWA NA KUMPUUZA HAKUUMIZI NA HAYO ANAYOKUCHEFUA NAYO SASA.
   
 9. king kan

  king kan JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Achaneni nae yeye msomi tena wa ubaharia kwa hiyo nadhani sasa anawazimia mademu na kupiga nao mbizi kibaharia
   
 10. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hayuko smart... he should have known better

  IQ in question
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  HAUJUI WATOTO wa CULT ya CCM wanapenda ktangaza Ukubwa wao... yeye alikuwa nje ya nchi muda mrefu hakupata

  huo muda kama wengine...
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  he is a disgrace to his family
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ndo zao,nilishwahi pishana mtazamo na Nape akani block instantly!
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Le Mutuz kavamia politics,itamchukua muda mrefu sana to get shaped politically,he is better at what he was than what he is trying to be!
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Eti kafanya kazi UN!!!!!!! Kwi! Kwi! Kwi! Siku hizi macassino kumekuwa UN?
   
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama ni ma cassino ya kimataifa then they are worth a title teh tih teh tuh!
   
 17. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Huwezi kuwa na jamaa wa sampul hii then ukampa ruhusa ya kuongoza watu wako
  Jamaa bado mshamba mshamba! Tumbo kubwa akili hakuna
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Anatafuta umaarufu kwa gharama yeyote ile!!kila la kheri ndio njia uliochagua pambana utafanikiwa unachokitaka kama Shy Rose
   
 19. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sahihisho: Nyumba ya Kinyerezi aliyejenga ni mke wake wa zamani ambaye bado yuko @NYC. Jamaa alikuwa anamdandia sana baada ya kupigwa chini imebidi arudi maana alikuwa hana pa kwenda!

  NAona hizo picha ni kujaribu kumuumiza ex kumwonesha kuwa yumo
   
 20. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba kujua elimu yake...maana naona kama kubwa jinga vile.....!!!!!?
   
Loading...