Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natangaza rasmi 2015 nitagombea ubunge-Rombo kupitia CDM. Nimeamua kufanya hivyo baada ya kutafakari kwa mda mrefu maombi ya makundi mbalimbali ya jamii ya wana Rombo kugombea tangu mwaka 2005 na...
2 Reactions
109 Replies
11K Views
Wakuu, Pamoja na mijadala kadhaa inayoendelea hapa JF kuwa na hoja zilizo nzuri kwa maslahi ya taifa letu, upo uwezekano mkubwa kwamba, maadam mchokozi na watu wake nao wanajua Kiswahili, pengine...
17 Reactions
71 Replies
10K Views
MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imesema haijui ukubwa wa tatizo na athari za dawa feki zinazoingizwa na kusambazwa kwa ajili ya matumizi ya binadamu katika maeneo tofauti hapa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
JUMATANO, AGOSTI 08, 2012 05:50 BAKARI KIMWANGA NA JERRY TEMU, DAR ES SALAAM *Wenyewe wasema si dhambi kuutamani urais *Shigella atangaza kiama wadanganyifu UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Zanzibar govt restricts food sale to Mainland By Correspondent 8th August 2012 Zanzibar government has restricted food items including rice, sugar and wheat flour from entering...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Habari za jioni wakuu the great thinkers. katika habari za tbc leo usiku nimeona wanasema kuna ujumbe umeenda amerika ili kuenda kudai eneo la bahari ya hindi. ninaomba munieleweshe maana yake ni...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
wakuu naibu waziri wa wizara ya nishati na madini atarajia kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kasulu mjini mojawapo ya mambo atakayoongelea ni pamoja huduma ya umeme kasulu maana toka miaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Baada ya kuwaudhi watu ndani ya CCM na wao kumuandalia mpango kabambe wa kumfilisi baada ya ile skendo ya UDA kuna tetesi zimeenea hapa mjini kuwa IDDI SIMBA yuko mbioni kuhamia CHADEMA narudia...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding...
1 Reactions
0 Replies
990 Views
Ni katika mradi wa benki ya dunia wa kusambaza vitabu vya kiada nchini. Chanzo: BBC Focus on Africa
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kufuatia Mh. Sophia Simba kukalia hicho kiti awamu iliyopita na kuamua kutetea kiti chake awamu hii huku wakichuana vikali na Mh. Anna Kilango Malechela mimi msimamo wangu ni kumuunga mkono Mh...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
ULIKUWA MGAO FEKI WA UMEME ILI KULA PESA ZA TANESCO SASA NAONA DEAL IMEHAMIA VITA NA MALAWI. Tanzania imekuwa ni nchi ya watu wajanja sana katika maisha yao ya kila siku, ndiyo maana inaitwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katibu wa jumuiya ya madaktari nchini ameweka wazi kuwa bei ya mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya kununulia shangingi moja.Alisema kama serikali ingekuwa na nia ya kununua mashine hiyo...
11 Reactions
240 Replies
30K Views
Shamra shamra za mkutano wa chadema utaofanyika leo london zimeshaanza kwa mujibu wa mdau wa Chadema London, Kamanda Cris Lukosi Mkutano utafanyika Thatched House Pub iliyopo Barking leo...
2 Reactions
126 Replies
11K Views
Nimeshtushwa na tamko ambalo amelitoa muda huu bungeni kuwa Serikali ya Tanzania iko tayari kwa uchokozi wa aina yeyote kutoka Malawi na ametoa tamko hilo kama kaimu waziri Mkuu . Tamko hili...
3 Reactions
262 Replies
21K Views
Huo ndio ukweli haonekani hatujui wanamsimamo gani wala hatujui huyo waziri kivuli alichaguliwa kutokana na credentials zipi btw CHADEMA ndio chama mbadala wa CCM if not CCM B
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanasheria mkuu wa serikali ametoa ufafanuzi bungeni kuhusu vipengele vya marekebisho ya mifuko ya pensheni vinavyolalamikiwa, na kuahidi kuwa ataleta tena hiyo hoja bungeni ili wabunge wavipitie...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ezekia Wenje ‘Aibu walarushwa wa rada kuongoza kamati Bunge’ Mzimu wa kashfa ya rushwa ya ununuzi wa rada ya kijeshi ambayo Tanzania iliinunua kutoka Uingereza umeibuka kwa mara nyingine...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Viongoz wetu wanapaswa kuwa makini kwenye jambo hili tena kwa kipindi hichi ambacho tumegundua kuwepo kwa rasilimali ya mafuta, gesi na makaa ya mawe. Ipo kila sababu ya kuwafanya super power...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Baada ya zengwe walilowekewa na polisi pale morogoro,na kuwazuiwa kufanya mikutano ya hadhara, leo chadema watafanya mkutano wa kufa mtu hapa mjini ifakara. Kwa mujibu wa radio pambazuko na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom