Waziri wa afya na matumaini ya uwongo kwa wa TZ.tutaendelea kudanganywa mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa afya na matumaini ya uwongo kwa wa TZ.tutaendelea kudanganywa mpaka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by richone, Aug 7, 2012.

 1. r

  richone Senior Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimemsikia naibu waziri wa Afya akiwa anajbu swali la Mh. Mbasha kwamba serikali imejipanga vp ili kukabiliana na changamoto za ugonjwa wa ebola haswa ukizingatia UPO NCHI JIRANIA YA UGANDA? naibu anajibu kwamba wamejipanga vizuri hasa kuhakikisha watu wenye ugonjwa huo hawataruhusiwa kupita kwenye mipaka na kuingia nchini. mimi nimeona jibu hilo ni la uongo NI WAHAMIAJI HARAMU WANGAPI WANAPITA BILA KUONEKANA NA WANAKWENDA MAENEO MBALIMBALI YA NCHI MPAKA WANAKUFA NDIO WAONEKANE je kuwaona wagonjwa ao kuviona virusi hivyo itakuwaje kazi rahisi wakati wameshindwa kuwaona watu maelfu kwa maelfu .naamini hilo haliwezeani hata kidogo
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  ndio maana mi nasema hili bunge halistahili kuitwa tukufu kwa huu wa mchana kweupe mbele za Mwenyezi Mungu. ni hivi majuzi tu tumetoka kwenye sakata la wahamiaji haramu kuvuka mpaka na kuingia mpaka dodoma, mwezi mmoja baadae wengine tena wameingia mpaka humu nchini ndani kupitia kule namanga hivi kama binadamu anaweza kuingia humu nchini atakavyo, sembuse vimelea wa ebola????????? alichofanya waziri ni yaleyale tu tuliyoyazoea kwa wengi wa mawaziri wa serikali yetu hii mbovu, HOJA MUHIMU, NZITO, NYETI majibu yake sasa, rahisi, ovyo na yasiyo na mashiko.
   
Loading...