Sign 100 za Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sign 100 za Mnyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wingu, Aug 7, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani hivi Mnyika kafikia wapi kwenye kuzitafuta hizo sign za kuleta mswada.Au kaamua kuzipotezea
   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hoja ilishawasilishwa na Jaffu na serikali leo imesema itaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kuweka hifadhi wakati ikiandaa mswaada wa dharura kufanya marekebisho
   
 3. B

  Bob G JF Bronze Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bunge limekubali kujadiliwa kwa hoja hio iliyowasilishwa na bwana Jafu mbunge wa ccm, imeona CDM wakiwasilisha watajipatia masifa kwa Umma
   
 4. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  wazee wa magamba walishaidaka mapema wakaifanya ya kwao kujikosha. walishituka itaingia kwenye ajenda za m4c iongeze credit. ninachojiuliza ni je, haya marekebisho yalipitaje? si ni hizihizi taasisi zinazosimamiwa na serikali ya gambaz ndo zilihusika???? iweje leo tena hawahawa magamba ndo wanajifanya kwenda eti! kuwasikiliza wafanyakazi wanasema nini. ina maana walitarajia watanzania watakubali tu kuchinjwa kikondoo? shame on you gambaz!
   
 5. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  bora ukimwi kuliko ccm
   
 6. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  KUMBE!!!
  hii mambo ya miaka 55 ni lazima iondolewe... kinyume na hapo wanataka ugomvi.. haiwezekani mninyime hela yangu na mng'ang'anie kuwakopesha kina manji
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbona CCM inavyote. Ukimwi ,Cancer, Kisukari na imeshapigwa stroke?
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Huu mchezo tutauona mwisho wake. Wameupitisha mswada kwa bwembe, na Jk akausaini kichwa kichwa bila kuusoma! Leo hao hao walioupitisha eti wanakwenda kuujadili kwenye kikao cha tisa!
   
 9. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Wazee wanaandamana, Walimu Wanaandamana, Madaktari wanaandamana, Wanafunzi vyuoni wanaandamana, Watoto wa shule za msingi wanaandamana

  MKULIMA NAYE AKIANDAMANA BASI GANDO LIMEKATIKA
   
 10. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  basi hapana shaka mkuu kaburi lao lipo tayari.....manyang'au wakubwa hawa!!!!
   
 11. H

  Hebron Caleb JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 12. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Life expectancy 45 years: mafao mpaka 55 years, nani afaidi hela ya kustaafu?
  Wabunge wengi wanaingia wakiwa na 50+ so kwao siyo issue...
   
 13. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kimsingi ni bunge ( wabunge wote na vyama vyao) ndo lilichemka.
   
 14. d

  dagjrtz Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bado sielewi nini kinaendelea na hili suala la mafao, kwa upande wangu mazingira ya ajira TZ si muafaka kwa kutokuwa na fao la kujitoa japo wapo wanosisitiza tuige chi nyingine zinafanyaje naona pia ni bora kuangalia na hali halisi katika hizo nchi.
   
 15. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Muda umefika kwa mpambanaji wetu John Mnyika kuacha kutangaza kwanza hadharani nia yake ya kuwasilisha hoja binafsi,kila anapotaka kufanya hivyo...niliposikia hoja hii imewasilishwa na jaffu wa ccm wakati mnyika toka ijumaa iliyopita alikuwa akizungumzia nia yake ya kuiwasilisha,na kusema angeiwasilisha jumatatu ya wiki hii..nimetambua kuwa ccm ni shimo la maji taka..tuendelee kuwashangaza kule kule ndani,haina haja kutangaza kwanza.
   
Loading...