Kwa mujibu wa tafiti zinazoendelea kufanywa na SAD Afrika mpaka sasa hawa ndio baadhi ya wagombea wanaoongoza kwenye kura za awali za maoni...
UWT.........1.SOPHIA SIMBA..................36%...
Kiambatanisho kinaonyesha zaidi ya majina 50 ya makarani wa sensa kata ya makuburi Jimbo la ubungo yanajirudia. Tunajiuliza inaluwaje jina namba 3 ADELA THOMAS MANKA lionekane tena namba 89 na...
Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
Baada ya kujiuzulu Masauni kwenye nafasi ya uenyekiti wa UVCCM taifa nafasi yake imekaimiwa kwa muda mrefu bila kujazwa pamoja na wagombea mbalimbali kujitokeza kuonyesha nia ya kuitaka hiyo...
Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Abdallah Abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya Kongowe (Kibaha).
Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali...
Toka umeibuka mtafaruku huu umeanza, wanasiasa wetu wametoa kauli mbali mbali hasa zinazoashiria shari huku wakitumia kigezo cha kuwalinda watu laki 6...
Mi bado najiuliza hao watu laki 6...
katika kipindi hiki ambacho tuna mgogoro na nchi ya malawi ningeishauri serikali ifunge mitandoo yote ya kijamii ilikuondoa uwezekano wa maadui zetu kuitumia kama silaha ya kutumaliza. pia kuna...
Kuna wakati nilidhani pengine iko siku nitagombea ubunge, niwe mbunge wa bunge la Jamhuri ya Tanzania
Nafurahi tamaa hii imepotea kwa kuwa Ubunge na Bunge letu vimekosa hishima na uadilifu mbele...
KARUME ALITAKA MAMLAKA YA WALIYO WENGI NA SIO UMWAGAJI DAMU – WALIOUA NI WATANGANYIKA
Hapa kwanza ifahamike kwamba hakuna mipango yoyote ya awali ya kimapinduzi iliyobuniwa au kufanywa na...
Tofauti na vyama vingine na wanachama wake uchangisha pesa kupeleka nyumabni kwa ajili ya shughuli za uchumi .sasa hivi magamba wameleta pesa nyingi ili kufanikisha ufunguzi wa tawi lao.yaani...
SOPHIA SIMBA MWENYEKITI UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA,NI KIONGOZI MAKINI ANAYEWEZA KUENDELEA KUWATETEA AKINA MAMA KATIKA TAIFA HILI,UMAKINI WAKE NA UBORA WAKE UNATOKANA NA MABO HAYA BAADHI TU
SOPHIA...
Haya yanayoendelea siyo mapya wana JF.
Labda tujikumbushe jibu la Baba wa Taifa juu ya kile kinachoendelea juu ya Zitto na mbio za kuingia Ikulu 2015.
Julius Nyerere's Speech on Workers Day 1995...
Ndugu zangu wana JF sina haja ya kuorodhesha yale yote ambayo CCM imeyakwamisha kwenye taifa letu hili changa!
Ila nina machache muhimu ambayo kamwe hatuwezi kuyafumbia macho
Kabla ya kuyataja...
Nimejiuliza sana swali hili bila majibu. Nisaidieni.
Mwaka 1978 tuliingia vitani na Uganda chini ya Idd Amin, lakini tulipambana kama Taifa vita ile kwa pamoja yaani viongozi wetu, makamanda...
Mh Waziri Mkuu sasa ameanzisha Tabia ya kukimbia Kila alhamis ya week ili kukwepa Maswali ya papo kwa Papo! Ilikuwa kila week akiulizwa maswali lakini kwa sasa amekuwa kila jumatano anaopa ruhusa...
Jamani nashangazwa hv ni kwa nn wafanyakazi wa mashirika ya umma/Serikalini..mfano walimu,madakitari,mapolisi,Tanesco,TRA hawajapigia kelele hiyi sheria mpya ya kupewa mafao baada ya miaka 55 na...
Wadau habari zenu,pengine kwa kutofahamu nimekuwa na hisia fulani juu ya gazeti liitwalo mitaa yetu, leo imekuwa mara ya pili kuna mtu amekuwa akigawa gazeti hilo maofisini,siku ya kwanza...
Tanzania Minister for Industry and Trade Dr Abdhallah Kigoda has assured the private sector in the country that the government recognizes them and will continue to support them.
Speaking during...
Umoja wa Afrika unatafakari suala la kuanzisha mahakama ya bara hilo ya uhalifu wa kivita kuendesha kesi za ukiuaji wa haki za binaadamu katika ardhi ya bara hilo badala ya kuzipeleka barani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.