Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ivil ID DigitalPersona – Leader in high-volume civil and commercial applications. Best fingerprint image quality High-volume manufacturing capability Fast time-to-volume Superior price...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema ugumu wa maisha unaowakabili Watanzania sasa, ulipaswa kwanza kujionyesha kwa viongozi wa Serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni vyema kwanza ichukuliwe tahadhari kwamba uzalendo wa mtu kwa pahala alipo si kabila, rangi wala aina ya ngozi. Uzalendo pia haupimwi kwa kigezo cha ni nani aliyetangulia kufika pahala hapo...
1 Reactions
28 Replies
13K Views
Wanasema kuwa Mzee Moyo: Sio Mwana-mapinduzi wa kweli na hakuyajua Mapinduzi ya 1964 Mwezi mmoja kabla ya Mapinduzi ya 1964 alikipiga pande chama cha ASP Alisherehekea kifo cha Wazanzibari...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe leo kuanzia saa tisa mchana atakuwa katika kipindi cha Makutano Magic FM kinachoendeshwa na Fina Mango ambapo atazungumzia na kutoa...
15 Reactions
107 Replies
11K Views
Zanzibar sio mali ya chama kimoja Posted on August 6, 2012 by zanzibaryetu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yussuf Mohd Yussuf akitoa hotuba ya Kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeomba radhi kufuatia baadhi ya mabalozi wa nchi za kiarabu waliopo Zanzibar kuzuiliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Amani Abeid Karume mjini Zanzibar...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kufanya tathimini na kuzunguka jimboni na kuona hali ya maendeleo na maisha ya watu nimejua watu wangu wa Same wanakosa uongozi wenye uthubutu wa kuwasaidia. Jimbo lenye mbuga za...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni muda sasa tangu tumchague Dr. Kebwe kuwa mbunge wetu lakini sijui hadi sasa katufanyia nini cha kumkumbuka. Huyu bwana naona hata lugha ya kiswahili kajifunzia ukubwani. Kwa yoyote mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kimya chetu si woga au kuwaonea haya au heshima ya pekee. Kutowajibu kwa namna tunayoweza siyo kwamba mna ujiko wenye kututisha. Kwa wiki kadhaa sasa kuna wabunge na viongozi wa serikali ambao...
26 Reactions
75 Replies
6K Views
Natoa tahadhari juu ya huu mgogoro wa mpaka kwenye Ziwa Nyasa kwani serikali inatakiwa kuuchukulia kwa umakini sana huu mgogogro ni wakutengenezwa!! Kwani ukiangalia kuna watu nyuma ya huu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKUU, Niliwahi kusema hapa kuwa nimeona doa kwa Mama Tibaijuka kwa namna ambayo anashughulikia mradi wa Kigamboni.Leo katika kipindi cha Generali On Monday nimethibitisha hofu yangu hiyo kupitia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
GAZETI LA MWANACHI LIMEANDIKA Makamba: Maisha bora hayawezi kuletwa na JK ,, Send to a friend Sunday, 05 August 2012 01:11 Fidelis Butahe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana Jamvi ni maoni yangu tu, hivi hatuwezi kuwa na maoni ya pamoja juu ya katiba mpya? Maoni hayo tunakuwa tunayawakilisha kwenye tume sehemu mbali mbali punde inapofika. Hii itapelekea maoni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Member of Parliament CV GENERAL Salutation...
6 Reactions
114 Replies
11K Views
kumekuwa na malalamiko ya walimu wa shule mbali mbali walio zungumza kwa masharti ya kutotajwa kutohusishwa na zoezi la sensa, ikiwa ni adhabu ya kushiriki kwenye mgomo wa walimu, nini tfsiri ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vyombo vingi vya habari, waandishi na watanzazaji pia msikazane kutafuta makundi ya wanasisa kwa ajili ya maisha yenu binafsi kuna mambo mengi ya kujadili muhimu kwa nchi yetu. nchi yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
........ WAALIMU: mgomo HATARI zaidi Kuliko mingine Katika Utumishi wa serikali kuna kada mbalimbali zikiwemo Jeshi, Uuguzi, watumishi wa serikali kuu na serikali za mitaa pamoja na mashirika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mamlaka ya udhibiti wa manunuzi ya umma PPRA imeanza kufanyia uchunguzi mchakato wa zabuni wa kununua mafuta mazito uliosababisha mvutano kati ya TANESCO na wizara ya Nishati na Madini. PPRA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom