Mbunge awarudi CWT kwa ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge awarudi CWT kwa ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maseto, Aug 7, 2012.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Akichangia jioni,mbunge mmoja wa ccm amehoji matumizi makubwa ya Pesa kwa viongozi wa CWT makao makuu. Amesema kuwa wakati viongozi makao makuu wakitumia zaidi ya biliön 8,ni bilion 1 tu iligawanywa kwa mikoa 21 ingawa mikoani ndiyo kwenye walimu wengi.Ameöngeza kuwa walimu wamekuwa wakitumiwa kugoma ili mishahara ikiöngezeka michango iongezeke wazidi kufaidi. Mimi naamini inaweza kuwa sahihi,lakini hiyo haiondoi au kupunguza ufisadi wa ccm na serikali yake.
   
 2. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Analalamika nini wakati wao ndio waliotunga sheria kuanzisha CWT?TUNATAKA TANZANIA TEACHERS FORUM[TTF].CWT NI CCM ORGAN.
   
Loading...