Kwa wale mlio uk , mkutano wa m4c ni leo jioni

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Napenda kuwakumbusha ndugu zanguni wote kuwa mkutano wa ufunguzi wa tawi la chadema londo ni leo jioni pale thatched house barking.
Mkutano utaanza rasmi saa tatu usiku na milango itakuwa wazi kuanzia saa mbili usiku
Karibuni sana
 
attachment.php


Chilisosi tunakutegemea kwa updates all the best makamanda... tunashambulia juu chinn ndani na nje ya Tz mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom