Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miongoni mwa hoja alizozitoa Mnyika kuhusu watuhumiwa wa kashfa ya rada, ni kuwafikisha mahakamani wahusika walioisababishia hasara nchi yetu katika sakata la rada. Hii ni kufuatia maelezo ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tuesday, 07 August 2012 20:09 Pamela Chilongola BENKI ya Dunia (WB) imetoa mkopo wa Sh41 bilioni kwa ujenzi wa miundombinu Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Fedha hizo ni sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati maandalizi ya zoezi yanasemekana kupamba moto, pia kuna changamoto nyingi pia zimejitokeza katika maeneo mbalimbali hasa pale walipotangazwa wasimamizi wa shughuli hiyo. Inaelezwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF Nawashukuru sana wote mliochangia katika kipindi cha kwanza cha Makutano kilichorushwa Magic FM kuanzia saa tisa mchana hadi kumi na mbili jioni kwa kumuuliza maswali Mheshimiwa...
14 Reactions
114 Replies
10K Views
Nimesoma habari hii kwenye Nipashe. Wazee wa huko kwake Morogogoro wamemwandikia JK barua kudai Mkulo ni Mmalawi .Wana JF hii kweli.?
0 Reactions
144 Replies
21K Views
Sensa ni zoezi la kuhesabu pamoja na mali zao na mambo mengine ya msingi ili kuweza kuipa nafasi Serikali ipange mipango na mikakati mbambali ya maendeleo kwa jamii kama vile ya uchumi, afya...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Na Mwinyi Sadallah | Nipashe | 9th August 2012 Mwanasiasa mkongwe Zanzibar, Mgaza Othman Mgaza, amesema viongozi wanaotetea Muungano wa mkataba kuzingatiwa katika mabadiliko ya Katiba mpya, wana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania ina lanchi zaidi ya 8 zenye ng'ombe safi kuajiri ya nyama,siku za nyuma....baada ya uhuru kampuni imekuwa ikizalisha ng'ombe wengi na kusambaza nyama kwa wingi...yapata ng'ombe 200...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya picha za Uhakiki wa Wanachama wa ADC Dodoma leo tar. 06.08.2012, Uhakiki uliovunja rekodi kwa idadi ya Wanachama Tanzania tangu kuanza kwa Mfumo wa vyama Vingi vya Siasa nchini...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
ORODHA YA WAGOMBEA UVCCM TAIFA HII HAPA Kamanda wa UVCCM wilaya ya Iringa Arif Abri siku alipokadhiwa Ukamanda ORODHA YA WALIOCHUKUA FOMU NGAZI YA TAIFA ORODHA YA WALIOCHUKUA FOMU NGAZI YA...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nimekuwa nikijiuliza tabia iliyoanzishwa na CCM,kama kuna inshu tete inayotishia amani ya taifa au ni gumzo la taifa,hata kama wapinzani wakitoa taarifa au wakiomba hoja izungumzwe itafungwa...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Nyasa Times August 6, 2012 U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton on Sunday visited Malawi to meet with the country's first woman President Mrs Joyce Banda. Clinton – the...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Mwenge wa Uhuru Wawasili Mkoani Arusha Leo Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Makamu mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa JULIANA SHONZA ameanza kwa kishindo ziara yake Mkoani mbeya moja kwa moja akijikita Vijijini kwa lengo la Kujenga na kuimarisha chama chake. Ziara yake...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimepokea ujumbe huo kwenye sanduku langu. Baada ya kuusoma nimestuka na kuona ni vizuri kushare na wenzangu hasa wana jamvi...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
TANGAZO LA MKUTANO MKUBWA WA CHADEMA MAGADIRISHO Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tawi la Magadirisho na Kata ya Usa-River, mkoa wa Arusha,Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, JULIUS Kaisari alipata kutamka; " My wife ought not even to be under suspicion"- Kwamba mke wangu hapaswi hata kutuhumiwa. Kaisari alikuwa akijibu swali la kwa nini alimwacha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepita ktk mpaka wa Horohoro nikitokea Mombasa nikaona upande wa Kenya uko bize na ujenzi wa majengo na nyumba za watumishi kwa kasi kubwa afisa niliyeongea naye aliusifia sana mpango huo nami...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ya kazi wana jf, chadema wameingia ndani ya ifakara kama nusu saa iliyopita tumewapokea mapokezi ya kufa mtu hadi nyinyiemu wamechanganyikiwa, mana ofisi yangu iko jiran na barabra basi ni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Viongozi wa Africa: Je wajua?? Huu ndio mjengo wa Rais wa Zimbabwe Mugabe.. Shuhudia hapa This Mansion is in Harare, Zimbabwe and is purported to...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom