Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Rwanda Maj. General Paul Kagame, Rais wa Tanzania Mh.Dr.Dr. Jakaya Kikwere, Rais wa Uganda Maj. Gen. Yoweri Museveni, Rais wa DRC Joseph Kabila (Mungi).
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Hakuna kifo hadi sasa lakini watu wameumia na hakuna huduma yoyote waliyopata.Polisi hawajafika na hata ambulance haijafika. Kuna watu wawili wamebanwa ndani ya basi msaada wa haraka unahitajika...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
UVCCM NA SIASA ZA KUBAHATISHA wakati zoezi la uchukuaji na urudishwaji fomu za uchaguzi UVCCM kufungwa, kumejitokeza wimbi la vijana wengi waliomaliza shahada ya kwanza kati ya mwaka 2008-2012...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja ya thread za leo kuna mtu katoa hoja jinsi vyama vya siasa vya upinzani vinavyoweza kuungana na kuitoa CCM madarakani. Mwanzishaji wa thread inaonekana lengo lake kubwa ni kuing'oa CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mwaka huu serikali imekuwa ikiandamwa na tuhuma nyingi kiasi cha kupoteza imani kwa wananchi tukianza pale mwezi wa nne walipotishia kumpigia waziri mkuu kura ya kutokuwa na imani,tuhuma za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HC 847 International Development CommitteeWritten evidence from Global Witness Global Witness 1. Global Witness welcomes the opportunity to make a submission to the International Development...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
“All foreigners holding resident permits “A”, “B” and “C” are informed that with effect from August 01, 2012 The employers who opt to transfer part of their workforce to Tanzania will now...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari Watz, hakika kila jambo linatoa fundisho kwa jambo jingine. Kufuatia sintofahamu ktk mpaka wetu na Malawi tumeshuhudia viongozi wetu wa kada mbalimbali wakitoa ushauri na wengine wakienda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa jamaa saut zao,ukiwa huon picha ila unaskia sauti tu,lazima itakuchanganya!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu tushiriki vema katika kutoa maoni bora kwenye tume ya mabadiliko ya katiba nchini inayoendelea kukusanya maoni nchini ili kuleta katiba na utawala bora.Zoezi kama ilo liliofanyika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Acting Finance Minister Gorden Moyo, however, yesterday said the census dates, set for midnight August 17 and 18, remain unchanged. “No training will take place until further notice, but we would...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Pamoja na kuwa nimeshawaambia viongozi, pia naomba niweke hapa. Wakati tunazindua M4C Arusha moja ya challenges ilikuwa mitandao Kwenda down na Watu walishindwa kuchangia, hivyo basi safari hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Thursday, 09 August 2012 21:08 Reginald Miruko, Dodoma SERIKALI inachunguza sakata la Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma la kugoma kutekeleza tamko lake la kuitaka kuacha kukusanya...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Mh Naibu spika Ndugai hivi punde akijibu Muongozo ulioombwa na Mh Lukuvi kufuatia maoni ya kambi ya upinzani yanayosomwa mh mchungaji Msigwa ameitaka serikali kuwaonesha wapinzani kuwa wao sio...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
A little boy goes to his dad and asks, "What is politics?" Dad says, "Well son, let me try to explain it this way: I'm the breadwinner of the family, so let's call me capitalism. Your Mom...
3 Reactions
0 Replies
812 Views
Leo inasomwa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii Bungeni Dodoma ambapo wazungumzaji wakuu watakuwa Mh. Waziri Kagasheki Vs Lembeli vs Msigwa, Ili kusikiliza bonyeza hapa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JUMAMOSI iliyopita, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando alinukuliwa akiwatetea wabunge wa chama hicho John Mnyika na Tundu Lissu, kwa kusema...
0 Reactions
107 Replies
10K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la mchinga ndg Mudhihiri ambae kwa sasa ni mjumbe wa bodi ya korosho Tanzania, amekuwa akipokea malipo ya matunzo kwa ajili ya ulemavu wake wa mkono uliokatika mwaka...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
JIBU LA SWALI LA MBUNGE KAWE na Mwandishi wetu, Dodoma MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), ameishauri tume iliyoundwa kuchunguza uhalali wa kampuni ya uwindaji wanyama,kupangisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Godfrey Dilunga | Raia Mwema | Machi 18, 2009 MACHI 12, mwaka huu, Mwandishi Wetu Godfrey Dilunga alifanya mahojiano na Mbunge wa Kishapu (CCM), Fred Mpendazoe kuhusu masuala mbalimbali ya...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Back
Top Bottom