Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Aug 3, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Makamu mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa JULIANA SHONZA ameanza kwa kishindo ziara yake Mkoani mbeya moja kwa moja akijikita Vijijini kwa lengo la Kujenga na kuimarisha chama chake.

  Ziara yake ilianza jana kwenye kata ya MSIA ambapo katika kata hiyo alifanya mkutano wa hadhara uliokua na mamia ya watu.katika mkutano huo,Juliana Shonza alijikita katika kueleza namna wwananchi wanavyotakiwa kujitokeza kwenye sensa inayoanza agousti 26 mwaka huu,pia alielezea umuhimu wa wanachi kujitokeza katika kutoa maoni ya katiba mpya kwa manufaa ya taifa hili na wananchi wake

  Sehemu kubwa pia ya mazungumzo yake kwa wananchi alijikita kwenye umuhimu wa vijana na wanawake kuijiingiza kwenye siasa bila kuogopa mabavu na vitisho toka chama Tawala.Pia alizungumzia namna wanachi wanavyoibiwa zao lao la kahawa na viongozi wa serikali ya ccm pamoja na makampuni binafsi.
  Leo Makamu mwenyekiti huyo atakuwa na mkutano wa hadhara katika kata ya ITAKA amabapo anategemea kukutana na wananchi wa kata hiyo.

  Katika ziara hiyo makamu mwenyekiti ameshirikiana vyema na viongozi wa jimbo,viongozi wa baraza la vijana mkoa wa mbeya ambao kwa umoja wao wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu katika ziara hii
  Ziara hiyo itaendelea kesho kwenye kata ya IYULA na kwa muda wa wiki moja ijayo atajikita kwenye wilaya la MBARALI

  Ikumbukwe wazi Makamu mwenyekiti anajitolea kufanya ziara hii,anasisitiza vijana kuendelea kujitolea kwenye ujenzi wa chama.Pia mwenyekiti huyo huyo amepitisha bakuri la kuchangia ziara yake hiyo kwa wadau mbalimbali, wa mkoa wa mbeya na wale wanaokiunga mkono chadema,hatimaye amefanikiwa kuanza ziara hiyo inayoonekana kuwa na mafanikio makubwa kutokana na idadi ya watu wanaohamia chadema na kuomba kadiza chama hicho,Pia wingi wa wafuasi wa chadema kwenye mikutano hii ni wazi kwamba CHADEMA inakubarika mkoani mbeya na vijiji vyake.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Noel Saronga Mkuu rekebisha kidogo,usiseme ANAJITOLEA kwa sababu ni wajibu wake.Otherwise kila la kheri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nimesoma let me go out and come back again maana am lost for sure .Mbona kama ni kupigiwa debe zaidi kuliko kazi yake kama Makamu?
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mrs Shibuda amejirekebisha? Title imgesomeka Mamluki wa BAVICHA ajirekebisha?
   
 5. S

  STIDE JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona ushauri wa wana-JF ulimfikia vyema baada ya kucheua zile pumba!! Binafsi nampa hongera na namtakia kila la kheri!!
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anatafuta posho tu hana lolote.
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mrs ben Saanane.

  Kwani BAVICHA hawana fungu kwa viongozi wao kwenye ujenzi wa chama? Hili kundi linaendelea kuchomoza kwa kasi
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Daa mnajuana eeeeh,mrs Mbowe?
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kazi nzuri, binadamu hujikwaa na huinuka na kuendelea na harakati za kufanya kazi!! Juliana alijikwaa na alifanyia kazi hilo limkwao na sasa anafanya kazi nzuri tumpe moyo na ushirikiano!
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  angekuwa na shida na posho angedai mshahara,....Mbona Heche analipwa,anapewa na posho...!!!11
  Juliana jembe,fanya kazi kamanda wangu J
   
 11. p

  panadol JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mleta maada acha uongo yani vijana wa chadema sijuhi mkoje hivyo viposho mnavyopewa vinawazuzua kweli kuja mitandaoni kuleta maneno ya uongo kila siku,watu wa mbeya hatudanganyiki wala hatushawishiki kwa hoja za kichochezi na kibaguzi nafikiri mleta maada huwajuhi watu wa mbeya vizuri huku watu hawachaguhi chama wanachagua mtu kutokana na uwezo wake wa kuwajibika kwa wananchi wake ndiyo maana walimchagua Dr Mwakyembe,Prof Mwandosya,Mh Zambi na wengineo ika kwa hapa mbeya mjini wananchi wanajuta kumchagua mwanamziki manake wanasema jimbo limebadilika limekuwa la kihuni na hakuna maendeleo yoyote na ndiyo maana Mh raisi alipoenda mbeya kuanalia uwanja wa ndege juzi juzi wamemwomba awasaidie kutatua kero zao ikiwamo za maji ambazo Mh Mbunge alihaidi kuzitatua ameshindwa kabisa alihaidi mambo mengi mpaka sasa ata yeye ukimuhoji amefanya lipi kati ya yale aliyohaidi hasemi kitu hivyuo unavyoleta maada kwa ajili ya kudanganya watu humu jamvini haisaidihi kitu unajidanyganya wewe na viongozi wako waliokutuma kama hamuamini subirini uchaguzi ujao muone kama Sugu atarudi bungeni sisi huku mbeya hatudanganyiki kirahisi rahisi kwa makelele ,fujo,porojo,uchochezi na kejeli dhidi ya serikali ambayo tunaona imetusaidia sana na bado inaendelea kutusaidia yale waliyotuhaidi tunaona wakiyatekeleza kwa vitendo!
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hiki ndicho mlichokuwa mnataka,mleta mada alidhamiria kuleta uchochezi kama ulivyodhihirisha hapa
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  TULIA KWANZA POVU LIKUTOKE LIISHE,MAMBO YA KUONGEA HUKU UNATOA POVU MDOMONI UTAPALIWA BURE.....
  Haya sasa Uhusiano wamaelezo yako na Kilichopostiwa hapa yako wapi?
  wamemtaja mwakyembe hapa?wamemtaja rais hapa? wamemtaja sugu hapa?...Pia unataja mabo ya uchaguzi mara sijui kiaenda kikarudi je vinahusika hapa?
  Jifunze kufyata mkia ukiona wakubwa wanapita
   
 14. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Molemo hayo yote ynazaliwa kutiokana na aina ya viswali vinaavyoulizwa......Kuna majibu yanayo zalisha majibu kama haya so usishangae saana...
  Kila swali linamajibu yake tena true answers endeleni kuwauliza
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Malicious Fabrication.Umbeya wako huu utakupeleka pabaya siku moja.Endeleeni kuchonga kwa kuwa mnatumia ID fake lakini hamuwezi kuni-face.mmenitafuta wee bado mnaendelea.Endeleeni na uzuzu wenu kisiasa

  Unajua kusema bila utafiti ni kuonyesha ufinyu wa mawazo.Do you have an idea on how daft you are?

  Hata ikiwa hivyo wewe inakuhusu nini.baadhi yenu mmeshindwa kazi ya uongozi mpo huku kuchafua majina ya wengine tu

  Ukiona Mwanaume unashindwa kazi ya kuongoza unaanza kuhofia wanawake wachapakazi ujue kuna tatizo.Mnapoteza kujiamini.Ndiyo maana Malawi nchi dhaifu inaongozwa na mwanamama shupavu inatupelekesha Tanzania imara inayoongozwa na wababa dhaifu.Leo tunatishiwa kunyang'anywa Ziwa Nyasa kwa kuwa tunaongozwa na wanaume dhaifu.Huu ni mzigo kwa Taifa.Usipoachana na mfume dume utakuja kututia aibu siku moja

  Ninyi jamaa mmekaa kupika majungu huku tu.She's a Threat kwenu. You lot are a funny bunch! You should spend your time trying to find a way of making the lives of your fellow Tanzanians better.Jengeni chama. I understand some of you are feeling threatened by everything. That's why BAVICHA hasn't been developing the way it should. Tushirikiane kujenga BAVICHA na si kuchafuana humu.Ignorance is the order of the way. This so called 'threat' is only a figment of some over zealous and gutless political bigots. I'm not saying you shouldn't be vigilant, but people should learn to be respectful!
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  tatizo Heche anawanyima usingizi since that time uchaguzi wa BAVICHA.

  THINK BIG.
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu jadili tu hoja lakini si vizuri kushambulia watu wasiohusika.
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Your post shows how out of touch you are with reality..Nisingenyimw usingizi hata kama ingetokea muujiza akanishinda mbele ya ballot Box.
  Sipendi kumzungumzia,ingekuwa yeye kapost kwa ID yake Real ningemjibu inavyostahili.Mnaonyimwa usingizi ni ninyi ambo mko so obsessed na ben kila wakati.B'cause you never prepared to occupy whatever position you have and as such you guys are clueless.
  Turudi kwenye mjadala sasa
   
 19. S

  Simiyu one Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama miaka yote CCM imekuwa madarakani hapo Mbeya imeshinndwa kuboresha huduma za maji sugu anawezaje kufanya hivyo kwa miaka miwili na nusu? au unatuambia sugu alipochaguliwa ubunge hapo Mbeya alikausha na hayo maji?
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hongera kamanda shonza.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...