Ziara ya Mama Clinton Nchini Malawi: Picha zinasemaje?

Waridi

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,025
172
Nyasa Times August 6, 2012

U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton on Sunday visited Malawi to meet with the country's first woman President Mrs Joyce Banda.

Clinton – the first U.S. secretary of state to visit Malawi -pledged continued U.S. support for development and health projects in the impoverished southern African country.

This a pictorial focus of the meeting between two women of substance- Clinton and Joyce Banda. Photos taken by Lissa Vintulaof Malawi News Agency.

feel-free-you-are-welcome-to-malawi-president-Joyce-Banda-and-Hillary-Clinton-at-state-house-600x398.jpg

U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton, left, meets with Malawi's President Joyce Banda at the State House in Lilongwe. This is the first visit to Malawi by any U.S. Secretary of State

clinton-hug-president-Joyce-Banda-on-arrival-at-state-house-600x398.jpg

VIP hug: Clinton and Joyce Banda

large-600x374.jpg

This is a Reuters picture capturing Clinton smiling 18 inches at State House

they-posed-for-a-photo-before-their-private-talks-at-state-house-600x398.jpg
it-was-all-smiles-hillary-clinton-with-president-Banda-600x398.jpg
clinton-being-welcomed-at-State-House-600x398.jpg
banda-and-clinton-before-holding-thier-bilateral-talks-600x398.jpg
 
Pengine Joyce Banda ni Mama na Rais mwenye mapenzi na Tanzania, ukichunguza maneno yaliyoko kwenye nguo yake maridadi aliyovaa (angalia picha ya mkumbatio), kwenye mkono pameandikwa Mwanza, halafu chini yake kidogo neno ambalo nadhani ni Tanzania linaonekana kwa sehemu tu. Au ni style ya kuiambia jumuiya ya kimataifa kupitia kwa kiongozi wa Taifa kubwa, kwamba hana problem na jirani. Ama kweli picha maneno elfu!
 
Waridi kwa taarifa yako malawi kuna mji unaitwa mwanza!

Si ndiyo maana kwenye thread zingine kule nimewambia wazi kuwa hii issue ya Malawi wakurupukaji ni wengi kuliko waelewa. Ukanda wote huo hadi wamashona na wamandebele jina Mwanza ni jina la sehemu au mtu.

Kuna mchezaji wa Mufulira Wonderers ya Zambia aliitwa David Mwanza.
 
map_of_malawi.jpg

Kitongoji kinachoitwa Tanzania sijaona, Mkuu Charminglady, msaada kwenye tuta tena.
 
Si ndiyo maana kwenye thread zingine kule nimewambia wazi kuwa hii issue ya Malawi wakurupukaji ni wengi kuliko waelewa. Ukanda wote huo hadi wamashona na wamandebele jina Mwanza ni jina la sehemu au mtu.

Kuna mchezaji wa Mufulira Wonderers ya Zambia aliitwa David Mwanza.

Tutaelewa tu, japo walimu wengine kufundisha kwenu kwa kejeli. Kwa wenye mtazamo chanya, tunaona kwamba kinachojadiliwa ni fursa ya kulifahamu vizuri taifa hili la majirani zetu. Sidhani hata wewe 'mwalimu mkali' unafahamu kila kitu kuhusu Malawi.
 
Kweli kuna maneno mwanza na tanzania kwenye vazi la huyu mama, hili halina ubishi. twende mbele tuangalie na vazi la huyo ads/tuseme ni mlinzi wake ni camouflage combat cloth kwenye shughuli ambayo ni ceremonial by nature. sasa tujiulize tunapata ujumbe gani tukiunganisha vazi la mama na la huyo mwanajeshi mlinzi wake? na kwa kuongezea rangi ya vazi lenyewe la huyu rais ni muhimu sana tusiipuuze kabisa.
 
Inaonyesha bi Clinton ana good "personal relationship" na huyu mama.
 
Huyu mama kaenda kufanya nini kama siyo kupeleka military intelligence? ...we will give you this, we will support you..., hit them here, make sure you have access to the boarders, we will use our radars to tell you where Tanzanian soldiers are!! ...I tell you don ever trust these Americans leaders, they have two sides!
 
Wanajeshi wao kumbe ni wanywa chibuku tu, hebu waangalie. Halafu wana radio.... outdated.
 
Nyie si mnajisifu mna gesi ya kumwaga na hamtafanya makosa ya kuingia mikataba fake kama madini, wamerikani sasa wanachonganisha ili muingie vitani wawakung'utishe hela zenu za gesi kwa njia ya kuwauzia silaha zilizopitwa na wakati
 
Ukiangalia kwa undani ziara ya Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Bi. Hillary Clinton nchini Malawi na maneno 'Mwanza' na 'Tanzania' kwenye nguo ya Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda vinaweza kuwa na ujumbe mzito kwetu hasa katika kipindi hiki ambacho tuko kwenye mgogoro wa mipaka kati ya nchi yetu ya Tanzania na nchi ya jirani ya Malawi, ni ngumu kutabiri ni kitu gani au ujumbe gani uliojificha nyuma ya pazia lakini kwa wachunguzi wa mambo ya kisiasa, kivita na kiuchumi na hasa kwa upande wetu wa Tanzania ni nafasi ya kuweza kutafakari kwa kina na kufahamu yaliyojificha nyuma ya pazia na ni zipi hatua za kuchukua kwa sababu zinazoweza kupatikana, inaonekana Malawi hawakukurupuka na wanafahamu ni kitu gani wanakifanya, inawezekana pia wanafahamu uwezo wetu kwa sasa na namna ya kuukabili, inawezekana pia sisi kwa miaka mingi hatukumdhania Malawi au nchi yoyote ya kusini mwa Afrika kama 'potential' adui wakati wao siku zote tangu kuisha kwa mgogoro wa kwanza wamekuwa wakituchunguza na kujipanga, kama Intelijensia yetu ilikuwa makini miaka yote hiyo basi ni jambo la kushukuru (ingawa kwa namna moja au nyingine nina shaka nayo kwani ilihamia kuwa Intelijensia ya CCM katika kupambana na vyama vya upinzani badala ya kusimamia kwa dhati na kwa kweli kabisa Usalama wa Taifa letu) na walitakiwa walione suala hili miaka mingi iliyopita kuwa linakuja, tukae chini tuumize kichwa tufahamu ni ujumbe gani tumetumiwa na Bi. Hillary Clinton na Bi. Joyce Banda (pamoja na mlinzi wake mwenye-combat), NACHELEA KUFIKIRIA KWAMBA SIO UJUMBE MZURI.
 
Hayo maneno mbona mi nimebadili mpaka lens za miwani siyaoni?
 
Pengine Joyce Banda ni Mama na Rais mwenye mapenzi na Tanzania, ukichunguza maneno yaliyoko kwenye nguo yake maridadi aliyovaa (angalia picha ya mkumbatio), kwenye mkono pameandikwa Mwanza, halafu chini yake kidogo neno ambalo nadhani ni Tanzania linaonekana kwa sehemu tu. Au ni style ya kuiambia jumuiya ya kimataifa kupitia kwa kiongozi wa Taifa kubwa, kwamba hana problem na jirani. Ama kweli picha maneno elfu!

USA Macho yao yako kwa Tanzania zaidi ya Malawi... Hillary Kazuru Tanzania mara 4; Hii ziara ya Malawi ni ziara ya

Nchi 6; Ond Day visit ni kumpongeza sababu wamefanya Austerity Measures kupata Mikopo na Misaada bila hivyp

Malawi ingefilisika kabisa... Huyu Mama amewakomboa...
 
hicho ni kifiro kwa tanzania... wanasema jah haaminiki ... wachina wamesema hivyo na wazungu weshasema hivyo, kabaki kisiwani peke yake, ikija vita lazima tudundwe kwasababu jamaa amebaki na irani na warabu
 
Back
Top Bottom