Viongozi wa chadema ndani ya Ifakara -Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa chadema ndani ya Ifakara -Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by miti, Aug 8, 2012.

 1. m

  miti Senior Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari ya kazi wana jf, chadema wameingia ndani ya ifakara kama nusu saa iliyopita tumewapokea mapokezi ya kufa mtu hadi nyinyiemu wamechanganyikiwa, mana ofisi yangu iko jiran na barabra basi ni hatari tu bodaboda na wat wa miguu ni wengi sana, katika pitapita yang nimekutana na mwenyekiti wa wa kata flani maeneo haya anaongea na wana ccm wenzake kuwa wananchi wa ifakara hawana mpango na chadema kwani wameshaona serikali ya chama cha mapinduzi inawajali sana na imeamua kuwaletea trekta hivyo saizi wananch wanajirudi, mara akatokea mpitanjia akawajibu trekta tumeletewa sisi au wanajeshi? Habari ndo hiyo saizi naelekea kiungani ambako ndo uliko uwanja wanaoenda kuhutubia chadema na uwanja uko pua na mdom na kituo cha polisi hivyo spati picha itakuwaje. Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante Kamanda endelea...
   
 3. m

  malaka JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Leo nilimuona raisi wa watu akikatiza pale morogoro. Nilipata faraja kuona bado yupo katika muendelezo wa ukombozi.
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  safi sana mkuu...usisahau picha kama una ka-simu ka mchina
   
 5. m

  miti Senior Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  wakuu picha mnaingiza vp ninazo nashindwa kuziingiza
   
 6. m

  miti Senior Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  IMG0083A.jpg IMG0092A.jpg IMG0095A.jpg

  wakuu picha ndo lkn simu yangu haiko fresh wakuu  IMG0093A.jpg
   
 7. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
 8. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  very nice movement
   
 9. s

  slufay JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umekopi na kupaste
   
 10. k

  kitero JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa taarifa na tumerizika kwa picha,tunajua kipato cha mtanzania.
   
 11. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ......AHSANTE SANA MKUU.... MUNGU AWABARIKI WANANCHI WOTE KWA KUJITOKEZA KWA WINGI MKUBWA....

  Viva MAKAMANDA M4C!!
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu 2nashukuru sana kwa tarifa nzura,,,,nyinyiem kama vipi 2nawapa dole la kati
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Halafu kiongozi mmoja anayezeeka vibaya anasema kuwa CHADEMA itakufa kabla ya 2015...ha ha ha ha ha!!!
   
 14. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nimeamini kweli wewe unatumia simu ya mchina
   
 15. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .....NATAMANI NIJUE IDADI YA WANACHAMA WAPYA AMBAO WAMETHUBUTU KUJIVUA Gamba na Kuvaa GWANDA....
   
 16. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  mwache aendelee kuota ndoto za mchana. atakuwa anaweweseka huyo, maana kimbunga cha CDM sio wazee tu, hata vijana wa magamba wanaweweseka ile mbaya. CDM forever. kwa kuwa CDM ni sauti ya wanyonge, huyo mzee itabidi afe kwanza yeye aiache CDM ikamilishe misheni yake ya kuwakomboa wanyonge.
   
 17. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
 18. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Msimlaumu mzee alisema hayo baada ya kuzinduka kutoka usingizini. Aliota nyinyiemu inaizikwa akamua ku-compasate maumivu kwa kuitaja chadema.
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Picha hizo ni nzuri sana. Hatuhitaki kuona kama sura za wahusika zina vipele au ziko soft, zaidi picha ni ushahidi wa kuaminika zaidi kuliko maneno matupu.
  M4C FOREVER.
   
 20. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mwache atakuwa kama yule mtabiri mkuu aliyetabiri mwisho wa dunia, chakushangaza ilipofika hiyo siku akafa yeye.
  M4c forever
   
Loading...