Mpasuko CCM Tawi la Magadirisho-Mkutano wa CHADEMA Jumamosi 11:08:2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpasuko CCM Tawi la Magadirisho-Mkutano wa CHADEMA Jumamosi 11:08:2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emashilla, Aug 9, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANGAZO LA MKUTANO MKUBWA WA CHADEMA MAGADIRISHO

  Kadi.jpg

  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tawi la Magadirisho na Kata ya Usa-River, mkoa wa Arusha,Tanzania inawatangazia wakazi wa Magadirisho, Usa-River, na maeneo ya jirani, na watu wote kuhudhuria kwenye mkutano mkubwa wa hadhara wa CHADEMA katika tawi letu la Magadirisho

  MAHALI: MAGADIRISHO, KIWANJA CHA SOKONI

  SIKU: JUMAMOSI, TAREHE 11.08.2012

  MUDA: KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI SAA 12 JIONI

  Tunaendeleza kauli mbiu yetu ya "VUA GAMBA VAA GWANDA" na Vuguvugu ya Mabadiliko-Movement for Change(M4C)

  CHADEMA NGUVU YA UMMA , PEOPLE'S POWER

  Na: MWENYEKITI CHADEMA TAWI LA MAGADIRISHO
   
Loading...