ipo wapi NARCO ya zamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ipo wapi NARCO ya zamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by khetewesa, Aug 9, 2012.

 1. k

  khetewesa Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tanzania ina lanchi zaidi ya 8 zenye ng'ombe safi kuajiri ya nyama,siku za nyuma....baada ya uhuru kampuni imekuwa ikizalisha ng'ombe wengi na kusambaza nyama kwa wingi...yapata ng'ombe 200 walikuwa wakichinjwa kwa siku ila leo hii kampuni imejaa propaganda za kisiasa,huduma mbovu,duka la nkurumah under narco limefikia kiwango cha kuchinja ng'ombe 1,2,3 hali kadhalika wengi sana 7 kwa siku.Je,ni NARCO yazamani babu/bibi/baba/mama zetu waliyoifahamu?nini tatizo?nini kinafanyika mpaka sasa?waziri wa uvuvi na mifugo,katika hotuba yake ya bajeti anadai mwaka jana wametengewa bil.5.5 na mwaka huu wametengewa kiasi kidogo na siku zijazo hawatapewa fedha kabisa kwani kampuni nilakibiashara hivyo linauwezo wakukopa kwenye mabank nakuendesha bishara.katika ilani ya CCM wanadai wanatarajia kuwa na kampuni kubwa la kuandaa nyama yenye ubora wa kushindana kimataifa na kuchinja ng'ombe 800 kwa siku katika kiwanda cha ruvu kinachoandaliwa,Je nini kinafanyika mpaka sasa?kinakidhi matakwa!
   
Loading...