ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

hasan124

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
716
128
Baadhi ya picha za Uhakiki wa Wanachama wa ADC Dodoma leo tar. 06.08.2012, Uhakiki uliovunja rekodi kwa idadi ya Wanachama Tanzania tangu kuanza kwa Mfumo wa vyama Vingi vya Siasa nchini. Wanachama 350 walihakikiwa. ADC inatisha kama njaa ya mwaka 1932. Baada ya Dodoma safari Mtwara tar. 17.08.2012 halafu Lindi funga kazi Dar es Salaam tar. 23.08.2012. Mtaisoma kimoyomoyo. Wadhamini.jpg Nine.jpg Six.jpg Wanachama wako kwenye mstari.jpg Uhakiki ADC Dodoma.2.jpg
 
Kila mmoja kalipwa sh. Ngapi kujiandikisha? ... Mbona mikoa yote mnyaokwenda ni njaa tu? ...
 
Kila mmoja kalipwa sh. Ngapi kujiandikisha? ... Mbona mikoa yote mnyaokwenda ni njaa tu? ...

Kumbe ndio sera zenu huko kwenu kulipa watu kwa ajili ya kazi za kichama!! okay hongereni kwa kununua umaarufu......lakini kumbukeni ADC ndo ishafika hivyo, mjiandae.
 
Naomba nijiunge na hiki chama! Kinaelekea kitakuwa na mgao mzuri kuelekea uchaguzi
 
Hivi hicho chama chenu ni chadema au chadomo? Maana mnapiga sana domo kuanzia viongozi wenu hadi wanachama, ndio maana Ufisadi ushajikita kwenye chama chenu. Haya sasa ndio kishanuka hivyo. Hongera zenu ADC msitishike na maneno ya waliofilisika kisiasa.

Duh! hii kali (kwny blue), Karibu ADC dada Christina lakini sisi hatuna sera za kukashifu wengine, unaenda nao taratibu wataelewa tu.
KARIBU ADC
 
Kumbe ndio sera zenu huko kwenu kulipa watu kwa ajili ya kazi za kichama!! okay hongereni kwa kununua umaarufu......lakini kumbukeni ADC ndo ishafika hivyo, mjiandae.
Tunawakaribisha kwenye mpambano lakini isije ikawa kama akina peter Mzirai kwenye Kampeni mkaja sema wapeni kura CCM kwani CDM hawafai, maana nyie ni vijivyama vya msimu vinajitokeza uchaguzi ukikaribia.
 
Hatubipu sisi, nia yetu ni kukamata dola sio kupiga domo. 2015 CCM itang'oka tu

Kujenga dola 2015? kwanini isiwe 2020 ili kipindi hiki kilichobaki ni kwa ajili ya kujenga chama kwa operation JONGOO maana CDM wao tayari wana hatimilki ya operation Sangara
 
Back
Top Bottom