Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiufungua mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Kitope uliofanyika hapo Kinduni Wilaya ya Kaskazini B.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu...
siku ya J3 na J4 baadhi ya viongoz wa Chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti wa chadema Zanzibar Mr.Said Issa Mohamed,Mr.Basil lema na Mr.Chitanda walifanya mkutano katika wilaya ya nachingwea...
Sugu akizungumza na Wananchi wa Ifakara
Dk. Slaa akiwa Jukwaani Ifakara katika Uzinduzi wa Operesheni Sangara
Kamanda Freeman Mbowe naye akimwaga sera za Chadema
Umati uliofurika katika...
wakati wa uchaguzi mwaka 2010 tulishudia mnadhimu wa jeshi-Shimbo akitahadharisha juu ya tishio la amani nchini.je ni lini tutamsikia tena akiongelea juu ya tishio la usalama wa mpaka wetu na...
Wababodi,
Kila nipatapo nafasi, huja mjini Dodoma na kujivinjari viwanja vya Bunge. Ndivyo nilivyofanya asubuhi hii ya leo, hivyo nitawaletea maswali ya papo kwa papo live toka hapa viwanja vya...
Malawians in border districts with Tanzania have expressed fear over reports that Tanzania is ready for war if Lilongwe continues exploring oil on Lake Malawi which Dodoma claims half of it...
kuweka msimamo wetu kama TAIFA juu ya mgogoro wa ziwa Nyasa na wenzetu malawi ilikuwa ni hatua muhimu na ya lazima(Kwenye chemistry this is called a necessary step towards reaction),bila kuweka...
Jumla ya wajumbe 10 toka Malawi, wako bungeni wiki ya pili sasa. Ni vema Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia nafasi hiyo kuwashawishi wajumbe hao kupeleka ujumbe nchini mwao...
Waziri Benard Membe ameweka wazi kuhusu mpaka wa Tanzania na kubainisha kuwa mpaka unapita katikati ya ziwa Nyasa!
Na amebainisha kuwa mipaka hiyo iliwekwa kwakipindi hicho nyasa ikiitwa...
Kwa wiki sasa viongozi waandamizi wa Serikali ya Tanzania wamekuwa wakitoa matamko ya kuchochea vita dhidi ya Malawi juu ya mpaka wa ziwa Nyasa/Malawi.Mbaya zaidi matamko hayo yamekuwa yakitolewa...
Huku viongozi wazalendo na makini wakiwa wanapungua siku hadi siku katika chati za uongozi wetu wa kitaifa inatia moyo pale tunapoona viongozi vijana wakiwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu akihutubia mkutano wa Makatibu Muhtasi nchini (TAPSEA), leo jijini Mwanza.
Dk. Mary Nagu
Waziri Nagu akifurahia...
Bunge letu linaonyesha linawatu ambao hawajui kwa nini ni wabunge na halmashauri zetu zinaendeshwa kama gulio. Elimu ni muhimu sana pamoja na kwamba na mambo mengine yanahusika katika uongozi kama...
Published On: Wed, Aug 8th, 2012
SERIKALI imeelezwa kuwa imeamua kutofungua mashtaka dhidi ya vigogo wanaodaiwa kuhusika katika kashfa ya ununuzi wa rada kwa madai kuwa kesi hiyo ingemgusa...
Mbunge(mwakilishi) wa jimbo la Dole(visiwani ZNZ) ni Silvester Masele Mabumba.Jina lake la pili na la tatu kwa hapa bara yana asili ya KANDA YA ZIWA.Hali hii inatatiza na inazua maswali kadhaa...
Malawi is known as the Warm
Heart of Africa because of its
peace and tranquility but the
current diplomatic row with
her neighbour Tanzania has
created panic among its
people, particularly...
Watu waliohudhuria mkutano wa chadema london ni 10 pamoja na matangazo yote ya Blog ya MJENGWA ambayo imekuwa kama gazeti la Tanzania daima.sasa hivi chris lukosi anasema kachaguliwa kuwa...
Lengo ni sisi tutatafakari sana suala la mppaka wa Malawikwa mapana yake. Maana tunaweza kuwa tunaburuzwa kijanja
Tuumbuke ugomvi wa miezi michache iliyopita wakati Tanzania ilipoomba kuongezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.