VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makutano Show, Aug 6, 2012.

 1. Makutano Show

  Makutano Show Verified User

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wa JF

  Nawashukuru sana wote mliochangia katika kipindi cha kwanza cha Makutano kilichorushwa Magic FM kuanzia saa tisa mchana hadi kumi na mbili jioni kwa kumuuliza maswali Mheshimiwa Zitto Kabwe na pia kutoa maoni. Nilijaribu kadri ya uwezo wangu kumuuliza maswali yenu na aliyajibu.

  Ushirikiano wenu na maoni yenu naamini yatakifanya kipindi kiwe bora zaidi hivyo usisite kunishauri au kunipa maoni ambayo unaamini yatakifanya kipindi cha Makutao kiendelee kuwa bora kadri siku zinavyozidi kwenda. Kila wiki tutakuwa na Mgeni na nitaendelea kupokea maswli yenu.

  Kwa wale ambao hamkuweza kusikiliza kipindi siku hiyo clip za mahojiano zipo katika Youtube Channel ya kipindi unaweza kubofya hapa chini kusikiliza.

  Fina   

  Attached Files:

  • 2.JPG
   2.JPG
   File size:
   305 KB
   Views:
   530
  • 3.JPG
   3.JPG
   File size:
   354.4 KB
   Views:
   539
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Aje na yule mtangazaji wa ITV Semunyu tumfundishe jinsi ya kuuliza maswali katika kipindi chake cha DK 45. Yaani Semunyu ana bore stiff!

  BTW, msalimie mzee wa kukoboa pumba, Ephraim Kibonde yeye hafundishiki!
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ok tupo pamoja sana, next time ukiwa na kipindi tujulishe manake naona huku kwako kuna mwanga wa kweli wa mabadiliko, Ni lini tena unafanya kipindi? Halafu huwezi kupata airtime kwenye luninga/channel 10 ukawa live?

  Wishn u all the best fina!!
   
 4. D

  Don Draper Senior Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JF imetajwa dakika ya ngapi? I'm not gonna listen the whole show
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  karibu tena fina...
  hapa ndo kila kitu....
  nashukuru umeona na kuappriciate jf wengi wanashindwa kuusema ukweli
  karibu tena eeeeh
   
 6. Makutano Show

  Makutano Show Verified User

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukrani Sizinga

  Kipindi ni kila Jumamosi kuanzia saa tisa hadi kumi na mbili jioni. Kuhusu live kwenye TV ondoa shaka liko ndani ya mipango itakapokuwa tayari nitakufahamisha.

  Asante sana.
   
 7. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  U are welcome madame!
   
 8. Makutano Show

  Makutano Show Verified User

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Part 2 maswali karibu yote ni ya JF
   
 9. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Poa sana Fina...kazi njema....kama kawa kama zama..zilee za...radio mawingu...
   
 10. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280

  Mlipendeza sana na Kipanya, wish kuwaona mnaendesha kipindi pamoja one day.

  All the best kido.
   
 11. Makutano Show

  Makutano Show Verified User

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukrani sana
   
 12. m

  mosagane Senior Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni wa ukweli Fina na tunakuhakikishia kuwa kipindi chako kitakuwa na mvuto na kitaleta mageuzi makubwa ktk tasnia ya habari.keep it up achana na mawatu kama akina kibonde na semunyu manafiki makubwa.
   
 13. m

  mosagane Senior Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mbona Zito hajatoka kiuheshimiwa?alikuwa na stress?
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hicho kipindi naweza sikiliza nikiwa online? naomba link.

  hongera sana kwa kuanzisha kipindi hicho.....
   
 15. A

  Awo JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 793
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  ------na Gerard Hando na Paul James! Kazi kusoma gazeti la Uhuru (binya pua) 'kongwe la Chama Cha Magamba'!
   
 16. Makutano Show

  Makutano Show Verified User

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Edson

  Website ya Magic FM inafanyiwa matengenzo kwa sasa lakini kabla ya kipindi kingine Jumamosi itakuwa hewani na tutaiweka hapa ili wadau wote muweze kusikiliza.

   
 17. N

  Njaa Mbaya JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huyu dada namkubali sana hata alipokuwa kwenye ile radio ana vitu fulani hata akiwa anaongea unamsikia akiwa anaamaanisha siyowasigizaji ambao wamejaa mizaa hata kwenye mambo ya msingi. kama utaendelea hivi utapata support kubwa kwenye jamii maana jamii hivi sasa inataka mtu mkweli siyo waigizaji
   
 18. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,670
  Likes Received: 2,468
  Trophy Points: 280
  Fina,

  Vipi unaweza pia ukamjumuisha Kipanya katika kipindi? Manake nyie wawili mkiwa pamoja mnafanya kazi nzuri sana...rejea enzi zile mkiwa pamoja pale radioni.

  Hongera sana na pia uzidi kukaza mwendo.
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  unatakiwa ufanye kama startv wanavyo fanya. anzisha maada hapa jf na useme mgeni nani halafu uwe unasoma moja kwa moja coment kutoka jf na utaje aliye uliza. mia
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  hongera sana mkuu
   
Loading...