Tumemsikia Balozi kagasheki waziri wa maliasili na utalii akimponda Msigwa na maoni ya kambi ya upinzani.
Imekuwa kawaida kupata hizo documents humu ndani, tunaomba muirushe nasi tuisome, au...
Kutokana na kushamili kwa rushwa ndani ya ccm katika chaguzi mbalimbali za ndani ya chama hicho na nje ya chama.ninashindwa kuelewa kuwa ndani ya ccm hakuna mwanachama ambae anaweza kuchaguliwa...
Nimekuwa mchangiaji wa mara kwa mara kwenye M4C kwa njia ya m-pesa. Hata hivyo siku za karibuni nimejikuta naacha taratibu kutokana na kujiuliza bila majibu maswali yafuatayo;
- Hivi bado...
Siasa
Biashara na Uchumi
Michezo/Burudani
Jamii
Mambo 5 ambayo Watanzania wanayakataa na hawatovulimia tena chini ya CCM Na. M. M. Mwanakijiji
Nimejaribu...
Tulimwamini JK mwaka 2005 kwa asilimia kubwa,viongozi wa dini hawakuwa na mitizamo ya udini walisema ni 'chaguo la Mungu'.Wananch wa kawaida walimuelezea kuwa ni mutu wa watu na muzalendo...
RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC.
tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni...
Wednesday, 08 August 2012 18:50
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharb Bilal
Israel Mugusi, Dodoma na Fredy Azzah
SERIKALI imesema itaajiri wataalumu wa kilimo 1,000 katika Mwaka wa Fedha...
Moja ya kazi kubwa ya Spika / Naibu Spika / Mwenyekiti Bungeni au kamati ya Bunge ni kuhakikisha kuwa Wabunge wanajikita katika mjadala ulioko mezani na pia muhimu sana kama ilivyo kwa mwamuzi ni...
Alipoulizwa maoni yake kuhusu hukumu ya mahakama dhidi ya mashtaka aliyokabiliwa nayo..Prof.Costa Mahalu aliwaomba waandishi wasome zaburi 17...(very powerful verse)
Zaburi 17 1 Ee Bwana, usikie...
KUNA msemo mmoja ninaopenda sana kuutumia kusisitiza hoja katika maongezi, ambao unasema, "Ili uweze kulielewa giza inabidi utoke au uende katika mwanga, na kinyume chake (vice versa)."...
Tunauzoefu mkubwa sana wa kuchapa sio kuchapana sisi hua tunachapa....sasa hawa jamaa tunawaambia kistaarabu hawataki ni hivi huyu mama atatuvalisha khanga tukimmbembeleza acha tuweke heshima...
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imetoa taarifa kuwa JK atasafirir kesho kuelekea Ghana akiungana na wageni maarufu 16 akiwemo Hilary Clinton kuhudhuria Mazishi ya aliyekuwa raisi wa nchi hiyo John...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe, leo anatarajia kuongoza harambee ya kukusanya fedha kwa ajili ya kufanikisha mkakati wa vuguvugu la mabadiliko...
Ni wakati mzuri sasa viongozi na waratibu wa M4C kuanza kuwaonyesha njia watanzania katika kufanikiwa kutatua matatizo yao ya msingi. Nini kitafanyika iwapo CCM itaondoka madarakani what are...
Hoja unayo Nape, sema umeiweka kifasihi sana kiasi cha kwamba wasomaji wengine hatukuelewi. Na huenda kosa la msingi limefanywa na mtoa hoja ambaye amekimbilia kukushambulia badala ya kutoa hoja...
Wadau, wa JF,
Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaendelea kujitanua kimataifa baada ya kufunguwa matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani sasa hivi wanaelekea kufungua matawi nchini...
Katika pigo kubwa tulilopata Tanzania ni CUF kutoka kuwa imara cha upinzani na kukosa mwelekeo kabisa. Sera za CUF ambazo wamekuwa wanazihubiri miaka yote ni kuwa na serikali tatu katika muungano...
Waandishi wa habari Zanzibar wanatakiwa kuwa na vibali vya serikali ili kufanya kazi. Hii ni kwa mujibu wa Suleiman Seif, mwenyekiti wa Baraza la Habari Zanzibar akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya...
Wanajamvi nipo Zanziba kwa takribani mwezi sasa nimekua nikisikiliza redio moja ya hapa iitwayo NURU FM imekua na ajenda za uchochezi haswa suala la muungano, wamekua wakichukua vipande vya hotuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.