Rais Kikwete safarini Ghana

Status
Not open for further replies.

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imetoa taarifa kuwa JK atasafirir kesho kuelekea Ghana akiungana na wageni maarufu 16 akiwemo Hilary Clinton kuhudhuria Mazishi ya aliyekuwa raisi wa nchi hiyo John Mills yatakayofanyika kesho.
 
kazi kweli kweli, hila kuna hali ya mtu huyu kuogopwa sana ikulu kuliko kuheshimiwa...... tuache amalize tuuu
 
Sasa jamani sio kwamba kila safari ya Raisi tunaikosoa!! Nyingine zinamantiki.
Inajenga mahusiano mazuri na nchi husika wakijua kuwa Tanzania tupo nao pamoja katika kipindi kugumu walichonacho.
Unakumbuka hayati Mwl JK alinyofariki!? Ilikuwa inafariji kuona maraisi na viongozi maarufu waliohudhuria msiba ule.
Unachotaka watu wakufanyie, na wewe wafanyie hicho hicho!
 
Lakini jamani, kuzikana ni sehemu ya desturi ya ubinadamu. isitoshe, kiongozi wa juu kama JMills cdhani kama kuna ubaya kuhudhuria mazishi. Zika wenzanko na kwako watakuja. RIP J Mills.
 
Michuzi alishafika Long Time the gud way to know where the presida is going Visit michuzi......
 
Sasa jamani sio kwamba kila safari ya Raisi tunaikosoa!! Nyingine zinamantiki.
Inajenga mahusiano mazuri na nchi husika wakijua kuwa Tanzania tupo nao pamoja katika kipindi kugumu walichonacho.
Unakumbuka hayati Mwl JK alinyofariki!? Ilikuwa inafariji kuona maraisi na viongozi maarufu waliohudhuria msiba ule.
Unachotaka watu wakufanyie, na wewe wafanyie hicho hicho!

Well spoken; Fare thee well Prof. John Evans Atta Mills
 
Sasa jamani sio kwamba kila safari ya Raisi tunaikosoa!! Nyingine zinamantiki.
Inajenga mahusiano mazuri na nchi husika wakijua kuwa Tanzania tupo nao pamoja katika kipindi kugumu walichonacho.
Unakumbuka hayati Mwl JK alinyofariki!? Ilikuwa inafariji kuona maraisi na viongozi maarufu waliohudhuria msiba ule.
Unachotaka watu wakufanyie, na wewe wafanyie hicho hicho!
Ukizingatia tunaelekea vitani ina bidi marafiki tuwakumbatie...lol
 
...Hii ni safari muhimu kwa Rais wetu kuifanya-ndiyo mila na desturi za kiafrika kuzikana. Mgogoro wa karibuni kati yetu na Malawi umenifanya nihoji kama Rais huwa anafanya ziara za kimkakati kwa marais mbali mbali. Ziara nyingi za rais ni za kuhudhuria mikutano (kama wa karibuni huko Uganda kuhusiana na amani ya maziwa makuu) na misiba.

Ni lini rais aliwahi kutembelea nchi fulani kwa lengo tu la kujenga mahusiano na sio mkutano? Nazungumzia ziara za kimkakati. Ziara za namna hii ni muhimu kwasababu viongozi hupata nafasi ya kuzungumzia mambo kwa kina yanayoathiri nchi zao moja kwa moja, tofauti na mikutano ya viongozi wote ambako agenda huwa za jumla na hata rais mmoja anapoongea na rais mwingine inakuwa ni "chit chat" tu. Ni lini rais wa Tanzania aliwahi kufanya ziara Malawi-ziara ya kimkakati na sio kwenda kuhudhuria mazishi? Haya, washauri wa mkulu, mmenisikia raia mwema.
 
Haoni mwenzake obama anamuachia clinton hiyo kazi na yeye angemuachia membe ili na yeye apate experience. Yaani ata attend misiba ya viongozi wote wa africa?!! Huo ni ulimbukeni
 
..kuna jamaa tumewekeana dau.

..mimi nilimwambia JK hawezi kukosa safari hii, yeye akawa ananibishia ati hiyo ni safari ya Afrika, JK anapenda za Ulaya na Marekani.
 
Nendeni nyie basi kama mlivyofanya msiba wa kanumba! Au na hii tunahitaji kuwa na waziri wa misiba, ili ikitokea msiba amuwakilishe.
 
Sasa jamani sio kwamba kila safari ya Raisi tunaikosoa!! Nyingine zinamantiki.
Inajenga mahusiano mazuri na nchi husika wakijua kuwa Tanzania tupo nao pamoja katika kipindi kugumu walichonacho.
Unakumbuka hayati Mwl JK alinyofariki!? Ilikuwa inafariji kuona maraisi na viongozi maarufu waliohudhuria msiba ule.
Unachotaka watu wakufanyie, na wewe wafanyie hicho hicho!

Kwani ilikuwa lazima aende yeye? Hana wawakilishi? Au tungetuma Delligate tungeonekana hatuko Pamoja na Watu wa Ghana?
 
Haoni mwenzake obama anamuachia clinton hiyo kazi na yeye angemuachia membe ili na yeye apate experience. Yaani ata attend misiba ya viongozi wote wa africa?!! Huo ni ulimbukeni

hadhi ya h clinton! hata hailingani na mh.kikwete , hata kama ni rais wa tz!
 
subirini kuna wizara ya misiba inaundwa!

Mkuu Markj swali langu lilikuwa ni jepesi sana na jibu lilikuwa ni ndiyo au hapana

Sidhani kama nimefanya kosa kuuliza swali na kama hukujisikia kujibu pia ulikuwa na uhuru wa kutojibu na kukaa kimya

Ila hadi sasa swali langu haujajibu mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom