Mbona makanisa hayamsaidi Kikwete Katika Mgomo wa Madktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona makanisa hayamsaidi Kikwete Katika Mgomo wa Madktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mlanguzi, Jul 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - TBC[/FONT].
  tayari pesa hizi kila mwaka zinatoka ukiachilia Mbali bajeti ya Serekali ya Wizara ya Afya .Haya ni Bugando, KCMC na Mengine

  Mbona sioni dalili yoyote Makanisa kwa pamoja kuchukua hatua angalau kwa hizi hospital wanazozimiliki?
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  umeanza tena udini,hukumbuki topic yako ilifungwa?
   
 3. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona ipo ya mou inatesa jf? Au kwa sababu inafurahisha ?jee hiana faida kwa jamiii? Au kuna kitu unakificha hata uifunge?
   
 4. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulitaka wamsaidiaje? waingie barabarani na kuandamana ?
  chukulia sasa hivi wewe ndiyo kiongozi wa hizo hospital ungamsaidiaje Kikwete.
  Hebu anika mipango yako hapa tuone
   
 5. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ningalihoji matumizi ya pesa za serekali na Kuunda TUME KAMA MIMI KIONGOZI WA KANISA
   
 6. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 7. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba utoe udini wako hapo , we are not interested with religion , we are interested with politics . so go to hell
   
 8. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Yaani kila post au comment iliotoka kwako ina hoja za kidini..! Au ndio mwenzetu mkate wako unautafutia kwenye aina hizi za topics..? Kuwa makini maana athari ya haya unayotumiwa nayo hayatakuacha wewe salama..
   
 9. D

  Dr Gustav Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamemsaidia kwa kumaintain waajiriwa wao
   
 10. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 11. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  makanisa siyo taasisi ya CCM kama ilivyo BAKWATA.
   
 12. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hivyo. Haijali watz?
   
 13. N

  NewOrder JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Kwani ameomba msaada?? Ni yule aombaye ndiye anaweza kunyimwa au kupewa. Lakini nina shaka atakubali msaada wa aina yoyote kwa sababu:

  a) Huenda hajui chanzo cha huduma duni za afya kama asivojua kwanini Tanzania ni masikini.
  b) Tumesikia mara nyingi "ameptoshwa", "ameshauriwa vibaya" nk. Anaweza akawapa wengine kazi ya kufikiria kwa niaba!!
   
 14. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani misikiti imemsaidiaje jk
   
 15. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani inamkataba na Serekali? Makanisa unayo. ndio maana wakati wa Mkapa wakitimika vizuri tu
   
 16. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Join Date : 15th July 2012

  Hii ID kaifungua maalumu kwa kazi hii.
   
 17. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lkn mkuu mbona unamakengeza? MAADA ZA DINI YAKO UNAZIFUMBIA MACHO?
   
 18. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Uchapaji huu mbona unafanana fanana na wa Mtani wangu Maleria sugu (RIP)
   
 19. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  kama kuna hospital zinazomilikiwa misikiti, nadhani nazo pia zitafaidika na hayo mabilion! but ukumboke serikali imeingia ubia na hizi hospital za makanisa, kwamba pamoja na mambo mengine, inagharamia kuwalipa mishahara madaktari, bia madawa serikali inagawa pia..sehemu nyingine iliyobaki na makanisa nayo yanadili nayo, raia wote wa tanznaia wanapata huduma pale, tena wa upande wa pili ndio wengi zaidi.....
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kichwa cha topic na topic vitu viwili tofauti, nia yako ni kuchafua hali ya hewa tenanimekubaini.

  Waingize kwenye huu mtego wadogo zako hapo nyumbani, propaganda za udini ni kawaida yako!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...