Nuru fm zanzibar inadhaminiwa na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nuru fm zanzibar inadhaminiwa na nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ufunuo, Aug 10, 2012.

 1. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi nipo Zanziba kwa takribani mwezi sasa nimekua nikisikiliza redio moja ya hapa iitwayo NURU FM imekua na ajenda za uchochezi haswa suala la muungano, wamekua wakichukua vipande vya hotuba za viongozi wa SMZ na kurusha hewani na kutaka maoni ya watu, kweli ni fedheha ukisikia wachangiaji wanavyotukana viongozi wao, moja ya viongozi waliokashifiwa sana ni makamu wa pili wa REais SEIF ALLY IDD kwenye ufunguzi wa chaguzi za UVCCM hapa alitoa rai kwa asietaka serikali mbili ndani ya CCM arudishe kadi kwani hiyo ndo sera ya chama na kila mwana ccm anatakiwa aisimamie, michango iliyotoka hapo kwa alie znz anayajua in short ni shame mbaya zaidi mwongoza kipindi nae kuna upande anasimamia so akitokea anaesapoti serikali 2 anaambiwa asante na kukatiwa simu,

  my take mauwaji ya genocide (halaiki) ya Rwanda yalichochewa na redio si muda wa kufumbia macho vitu kama hivi.
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  ..huku Tanganyika wana gazeti lao linaitwa An-Nuur.

  ..70% ya habari za An-Nuur zinawahusu wa-ZNZ na chuki zao dhidi ya wa-Tanganyika.

  ..hili ni gazeti la uchochezi, lakini serikali haitaki kulifungia.
   
 3. u

  uwemba1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  Natofautiana Nawe
  1. Mwananchi anahaki ya kuamua aina ya muungano au kuukataa kabisa c kuburuzwa na CCM
  2. Hiyo media iendelee kupinga upuuzi wa Nyinyiem
  3. Sio kila kiongozi yupo sahihi na ni kutii kama Jeshini
   
 4. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  sijakataa maoni yao na wala siungi mkono madai ya Seif Idd bali msimamo wa redio na the way wanavyoendesha kipindi, ni kuchochea wananchi dhidi ya viongozi wao kama mtu anapiga simu na kusema makamu wa rais si mzanzibari ni kibaraka na mtangazaji anasema hayo ndio maoni ya wanzibari wenye masikio na wasikie ni sahihi? for sure hata mimi huu Muungano hata mimi siusapoti lakini haijafika mahali kutoa lugha za kashfa kwa kiongozi wa nchi tena redioni.
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Jibu ni moja tu Magaidi wa UAMSHO
   
Loading...