CUF Waweweseka, Sasa wataka Serikali Mbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF Waweweseka, Sasa wataka Serikali Mbili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Aug 10, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Katika pigo kubwa tulilopata Tanzania ni CUF kutoka kuwa imara cha upinzani na kukosa mwelekeo kabisa. Sera za CUF ambazo wamekuwa wanazihubiri miaka yote ni kuwa na serikali tatu katika muungano. Nimesoma Mwananchi ya leo eti wabunge wa Znz wakiwemo wa CUF wanasema wao wanataka tuendelee na serikali mbili na kwamba wanaotaka serikali tatu wanataka kuleta fujo. Sasa CUF kama chama mmebadili sera lini au kwa vile CCM wanasimamia hapo? Ndio maana naipenda Chadema ina Msimamo
   
 2. m

  mayengo Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiseme CUF, sema CCM b.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ile operesheni MCHAKAMCHAKA imeishia wapi?..mbona sijaisikia, wakati ilisemekana itaanzia kazi Arusha?
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,656
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hawana hela za kukodi mafuso kwaajili ya kujaza uwanja kama mume zao CCM
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CUF kama kinyago cha mpapule
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,336
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 180
  Wewe unashangaa nini? Hujaona mke akibadili dini yake baada ya kuolewa?
   
 7. i

  iseesa JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na ule "UNGANGARI" wa "Madevu" umeishia wapi? ama kweli siasa ni mchezo mchafu!
   
 8. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  leo wamelalamika bungeni spika anawatenga, anawabanikuuliza maswali ya nyongeza, eti spika anawapendelea chadema na ccm
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  cuf BASI TENA HAKUNA CHAMA HAPO, WAMEBAKIA WANAGOMBANIA MASLAHI TUU
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,685
  Likes Received: 3,563
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza wana jamvi wenzangu,hivi sera ya chama si inaweza kubadilika kutokana na mazingira au??
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,473
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Tatizo mfumo dume, bibi hana budi bali kumfuata mume. Kuolewa kuzuri.
   
 12. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,728
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  Nafikiri cuf wamebanwa na wapemba walioko bara kwani ni miongoni mwa makundi yanayonufaika sana na kuwepo muungano na wanajua kuwa na serikali tatu ni mwanzo wa kuvunjika muungano kwa hiyo muungano ukivurugika wao ndio wataathirika zaidi je wang'ang'anie muundo wa serikali tatu wapoteze sapoti wanayopata au wang'ang'anie serikali mbili ili waendelee kupata sapoti
  wameamua kuchagua la pili jambo jingine wao wakosalama zaidi kwenye muungano kuliko ukivunjika kumbuka kwa mara ya kwanza mtu aliyetoka Pemba ameweza kuongoza Zanzibar
   
 13. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa angejua kuingia kwake madarakani kunawatu walikufa angefanya yale wananchi watakayo!
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Cha kutia moyo kwa CDM ambayo sera yake ni serikali 3, ni kuwa CUF ni wachovu wachache na CCM wamechoka na kuchokwa.
   
 15. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi maswala ya muungano ni misimamo na sera za vyama na sio maoni ya wananchi tena??????????
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,298
  Likes Received: 2,322
  Trophy Points: 280
  i stopped taking khaf seriously long time ago
   
 17. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahaha sasa watauliza maswali gani? au Znz ni nchi? mbona huwa hawana maswali? yakiwepo basi Znz bas. Poor CUF na CCM watawapa talaka very soon hawana mashiko siku hizi
   
 18. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kitu cha kufurahisha zaidi mumejiuliza maswali na pia munajipatia majibu wenyewe! hamujiskii nishai?? teh teh teh, kweli ujendaazimu upo wa aina nyingi!
   
 19. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimemmis Mtatiro Julius Mtatiro naona kachagua fungu jema la kukaa kimya nahisi ataibukia chama makini muda si mrefu keshaona SACOS ya wapemba hailipi tena.
   
 20. YAGHAMBA

  YAGHAMBA JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli lazima sera ziendane mazingira, ukishaolewa kubali kulala bila nguo
   
Loading...