Iwapi hotuba ya Mch Msigwa kuhusu mali asili na utalii?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Tumemsikia Balozi kagasheki waziri wa maliasili na utalii akimponda Msigwa na maoni ya kambi ya upinzani.
Imekuwa kawaida kupata hizo documents humu ndani, tunaomba muirushe nasi tuisome, au kwakuwa Maige kang'oka basi mvuto haupo?
 
Back
Top Bottom