Chadema kufungua matawi China | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kufungua matawi China

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshume Kiyate, Aug 9, 2012.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wadau, wa JF,

  Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaendelea kujitanua kimataifa baada ya kufunguwa matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani sasa hivi wanaelekea kufungua matawi nchini China katika miji ya Guilin, Guangzhou, Hangzhou, Shanghai, operesheni hizo za kufunguwa matawi zitaongozwa na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini Godbless Lema na makamanda wengine wa CHADEMA.

  Watanzania ambao wanaishi China kaeni tayari kuipokea CHADEMA, habari kamili mtazipata kutoka kwa viongozi wa CHADEMA na kupitia humu jamvini.


  :peace:
   
 2. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  M4C pasua anga baba. Heko kwa kamanda Lema na makamanda wengine wa Chadema, hili Gamba limetuchosha jamani pambaneni tulivulie mbali 2015..ukizingatia na walimu wamenyimwa sensa mhhhhhh ahaaaa patamu
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wale waliosema juhudi za CHADEMA ni nguvu ya soda tu na kwamba ni chama cha msimu na wakati mwingine chama cha uchaguzi tu sasa angalieni hayo majibu yenu kwa vitendo!!!!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Watakutana huko na Said wa Home Shopping Center, halafu wamwambie awasaidie kwenye mikutano yao. Watapata wachina wengi wataoingia CHADEMA. Kwi kwi kwi teh teh teh!
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duu,

  Hivi ni kweli kwamba huna habari jinsi idadi ya WaTanzania wenzetu ilivyoongezeka zaidi ya mara kumi nchini Uchina tangu miaka ya katikati ya 2000 sio?
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi kuna umuhimu wowote Chadema kufunguwa matawi China?
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chama kina tangatanga hichi tutegemee na matawi yatafunguliwa baharini,kwenye mito na maziwa
   
 8. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  nimeona bendera ya CHADEMA Islamabad
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Lo hii sasa noma, Dr Slaa atafika Beijing kweli?
   
 10. STALLEY

  STALLEY JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Wasisahau antarctica pia
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Nasikia wanatayarisha maandamano makubwa Tien Mein Square!
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  China sawa kwani uwezo wa CDM ni kufunga matawi ya ki-china tehe tehe tehe. Si umesikia LEMA alivyoumbuka kule London.
   
 13. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Muda si mrefu, mikakati ya kufungua tawi sayari ya mars utafika.
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Yaa, si wanafungua matawi ya kichina(fake branches) ili kulaghai watu wawachange pesa, kumbe hukujua kwa nini wanasema matawi china tehe tehe tehe.
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hivi watu wa aina gani wanaokutana na LEMA wakajadili masuala ya siasa? Huyu jamaa nilisoma CV yake wee acha tu, eti kasoma elimu ya msingi miaka minane, halafu mwaka huo huo aliomaliza darasa la saba akaanza kidato cha kwanza. Remarks kwenye sehemu ya graduate imeandikwa not completed. Kuna haja hao jamaa wa majuu wakapitia profiles za watu wetu kabla hawajaingia nao mazungumzo otherwise watakuwa wanakutana na magenge ya wahuni.
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Safari ya ukombozi ni ngumu,tunaiunga mkono cdm kwa juhudi zake za kuunda serikali pindi mda utakapowadia na tunawasuta wale wote wanaotaka na kutamani kuikwamisha cdm.Mungu wabariki wale wote wenye nia njema na nchi hii.
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wapeleke vurugu zao china watanyongwa hata mafuvu yao hatutayaona.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Watanzania wa-kichina (fake Tanzanians) siyo watanzania, Watanzania wafuate nini china kama wachina wenyewe wanaona Tz dili.
   
 19. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yaani heading imekaa kichekesho, sijui kwanini nikiona kitu china kinachonijia kichwani ni feki na kaama habari naiona ni ya uongo
   
 20. m

  markj JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  aaah! badala mkafungue tawi mabwepande angalau mtaweka ulinzi! mnaenda china, ivi huko matawi ya nje huwa nao wanapiga kura?au
   
Loading...