Ni wakati mzuri sasa viongozi na waratibu wa M4C kuanza kuwaonyesha njia watanzania katika kufanikiwa kutatua matatizo yao ya msingi. Nini kitafanyika iwapo CCM itaondoka madarakani what are opportunities, barries and weakness tulizonazo watanzania chini ya utawala wa CCM ili kupata Maisha bora na uchumi imara. Wananchi wameaonyesha kutaka mabadiliko kwa kiasi kikubwa ila nafikiri kuna kundi kubwa sana wasiofahamu ni nini vipaumbele walivyonavyo watawala wajao.
Ni muhimu sana M4C ilifanyie kazi hili!!
Ni muhimu sana M4C ilifanyie kazi hili!!