Kumekuwepo na hofu, masuala na sintofahamu nyingi kutoka kwa watanzania juu ya kubadilika kwa mfumo wa urushaji wa matangazo ya Radio na Luninga kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali...
Wana JF
Leo mahakama ya hakimu mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi inayomkabili Prof Costa Mahalu aliyekuwa balozi wa Tz nchini Italy na mwenzake...
Raia Mwema la leo, Julai18-Julai24, 2012
"Wakati uchunguzi wa kimataifa ungali ukiendelea,Raia Mwema imethibitisha kuwa Rais mstaafu aliyepata kuongoza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) na...
Si busara sana kulalamika kwa mapungufu yaliyojitokeza katika tukio la leo na si vibaya kupongeza na kudumisha yote mazuri katika tukio hili hapo SERENA HOTEL.
Nini Tathmini yako Mpenda mbadiliko...
Kiongozi mtandao wa ujalingi atajwa
Idara ya Wanyamapori yanuka rushwa
Msemaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa
Vitendo vya ujangili vimelitikisa Bunge huku Kambi...
Wadau punde spika Anna Makinda ametambulisha wageni toka Malawi akiwemo Naibu Spika wa Bunge la Malawi.
Je inawezekana ni mwanzo mzuri wa mazungumzo baada ya vile vitisho vya ziwa Nyasa au ndo...
Nimefatilia jana katika M4C Dar Lema akawa anasema alipokua London ameweza kufanikisha hupatikanaji wa gari 4. Sasa nikajiuliza kama Lema ameweza kwenda Londoni na amefanikiwa kuchangiwa gari 4...
Kuna pesa zimetolewa na United Nations kuhusu program ya mabadiliko ya Climate Change (siku hizi wanaita mabadiliko ya tabia nchi climate change).
Pesa hizi zinafika mabilioni ya shillings za TZ...
Katika hali ambayo sio ya kawaida wabunge wa CHADEMA walaani kitendo cha chama chao kuwalazimisha watoe sh mil2.1 kwa kila mbunge wa CDM kwa ajili ya mchango wa M4C inayoanza leo mikoani. Wabunge...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha, amewaponda baadhi ya viongozi wa Zanzibar wanaozungumzia kero na Muungano kwa nia ya kuficha makucha ya ufisadi wao.
Alishusha...
Katika jambo la kushangaza ni kwamba zaidi ya nusu ya wagombea wa Umoja wa vijana wa Taifa ni vijana wa Lowasa,hii imethibitishwa na uchukuaji na urudishwaji fomu za ngazi zote!,Beno Malisa ambaye...
Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imekiri kusajili meli 36 za mafuta kutoka nchini Iran kinyume na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Baraza la...
Posted on August 11, 2012 by zanzibaryetu
Professa Issa Shivji akiwa katika moja ya mikutano iliyotayarishwa na kigoda cha Mwalimu Nyerere katika chuo kikuu cha Dar es Salaam
Sikuwahi kusikia...
Mbunge wa viti maalum CDM Mariam Msabaha amemtaka waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Kagasheki kuufanya msitu wa Pande eneo la utalii kwa kuweka wanyama badala ya kupafanya eneo la mauaji.Hayo...
Nimefatilia kwa karibu matamshi ya Viongozi wa chama kimoja hapa Tanzania wanpotowa matamshi ya vitisho kwa kisingizio eti sera za chama ,chakushangaza sera hiyo huelezwa pale inapotokea...
SAFARI ya CHADEMA kuelekea 2015 na ndoto za kuingia ikulu zinazidi kupaa kwa Chama hiki kikuu cha Upinzani Bungeni.
HATUA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko...
BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA
BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA
African Country
Active Troops
Reserve
Paramilitary
Total Troops
Egypt
450000
254000
405000
1109000
Eritrea
202000...
Sat, Aug 11th, 2012
Tanzania |
Zanzibar has admitted that it had registered 36 Iranian tankers flying Tanzania's flag, Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Iddi informed the House on...
Fri Aug 10, 2012 10:17am GMT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM Aug 10 (Reuters) - Tanzania faces political uncertainty in the months ahead after corruption allegations were levelled at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.