Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

viongozi wanatoa nasaha zao kwa muda huu
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 253 8 Aug 2012 Kasi ya CHADEMA kisiasa mwiba, vijisenti vya mafisadi vurugu tupu Sasa wawakumbuka Kinana, Mangula BAADHI ya wana CCM wanafikiria kuwatosa Katibu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza polisi wilayan Muleba wamemdhalilisha hakimu wa mahakama ya mwanzo kwa kumpiga pingu hadharani kwa sababu za uzushi zilizotokana chuki binafs baina ya hakimu na polisi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii ndio Article yenyewe;- Joseph Stiglitz 06 August 2012 KAMPALA New discoveries of natural resources in several African countries – including Ghana, Uganda, Tanzania, and Mozambique – raise...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha walimu nchini CWT kimesema kimebaini kuwepo njama za siri za kukisambaratisha ambazo zinaratibiwa na kikundi cha watu ambao hawakuridhishwa na mgomo wa walimu ulioitishwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JUMAMOSI, AGOSTI 11, 2012 08:43 NA MAREGESI PAUL, DODOMA NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai , ameagiza Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Mchungaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKATI Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, ikisema kuwa hakuna rushwa kwenye kashfa ya ununuzi wa rada kutoka nchini Uingereza, nchi hiyo imeweka bayana kwamba uamuzi wake hauizuii Tanzania...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimesoma MWANANCHI ya leo page 01 na ni wazi kwamba inaelekea tutahitaji kuwa na data sahihi wakati majadiliano yanaendelea kati ya Malawi na Tanzania kuhusiana na mpaka kwenye Ziwa Nyasa. Kwanza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Operation Sangara pamoja na vuguvugu la mabadiliko leo imeingia Ulanga Mashariki ikitokea Kilombero. Mikutano imefanyika kwenye Kata 8 na Vijiji zaidi ya 24. Kesho itakuwa ni Kata 8 za Ulanga...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Huwa nashuhudia gwaride la sherehe za kumbukumbu ya muungano likikaguliwa na rais wa jamhuri ya muungano pekee wakati muungano una serikali mbili? Kwa nini rais wa Zanzibar naye asiwe anapewa...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Operesheni Sangara pamoja na vuguvugu la mabadiliko iliyoingia katika Jimbo la Ulanga Mashariki linaloongozwa na aliyekuwa waziri wa afya Dk Haji Mponda kabla ya kutemwa kwenye baraza la sasa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Milio mizito ya mizinga, ngurumo za vifaru vyatikisa Msemaji wa jeshi : Ni mazoezi ya kawaida kabisa Mazoezi ya kijeshi yaliyofanywa usiku wa manane kuamkia jana na Jeshi la Ulinzi la...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
FRIDAY, AUGUST 10, 2012 Habari na Ezekiel Kamanga,Mbarali. Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),kimeendelea kujizolea wanachama wapya baada ya kufanya mkutano wa hadhara Agosti 8 mwaka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni saa chache tu zimepita tangu Mkt wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani Bungeni ambaye pia ni mbunge wa hai Mh, Freeman Mbowe kuutangazia uma wa watanzania kuwa atatua mkoani Iringa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kufuatia kufukuzwa kwa kundi zima la mameya wa chadema ( mameya 6 yaani 100% ya mameya wao wote) kwa tuhuma za wizi, rushwa na ubaradhuli wao. vijana wa CCM waendelea kung'ara. huyu ni mmoja wa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
CCM 2015 wakipona basi tujue kuwa asilimia tisini ya watanzania hawakupiga kura. Kila mtanzania anajua kuwa ukienda ikulu kuwakuta wakuu wa kaya sio rahisi kwa sababu mmoja yuko bize na safari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika uwasilishwaji wa bajeti ya kambi rasmi ya upinzani unaoendelea bungeni katika wizara ya maliasili na utalii,anasimama Mh lukuvi nakudai mchangaji msingwa anaichafua serikali ya ccm eti kada...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Job Ndugai ambaye ni Naibu Spika wa Bunge anasimamia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii Bungeni na mjadala mkubwa umejikita kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wakati huo huo yeye ni...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Dr Charles Kitima: kizazi chote kilichosoma bure ambacho kilionja neema ya baba wa Taifa akiwa na lengo kuu kuwa kije kuliendeleza hili Taifa sasa ndo wezi wakuu wa hili taifa. Malengo yao ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom