Tusihadaike tena na ccm 2015,hakuna kiongozi anatakaye tujali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusihadaike tena na ccm 2015,hakuna kiongozi anatakaye tujali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by augustino ameri, Aug 11, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tulimwamini JK mwaka 2005 kwa asilimia kubwa,viongozi wa dini hawakuwa na mitizamo ya udini walisema ni 'chaguo la Mungu'.Wananch wa kawaida walimuelezea kuwa ni mutu wa watu na muzalendo anayejali watu wa chini na asiyependa ufisadi.Walitoa sifa yake kuwa enzi za mzee ruksa Rais wa awamu ya pili alifunga akauti ya Kigoma malima iliyokuwa uswis na hili liliwapa imani wananchi kuwa wale walioyozoea kuchezea mali ya uma ndio mwisho wao.Kinyume na matarajio ya wananch ,migomo imekuwa mingi na yenye athari kubwa,ufisadi umeongezeka na mfumo wa kulindana kichamaumeendelezwa.
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  kwa ujumla ccm walishashindwa kulihudumia hili taifa, ila wanalazimisha tu. HATUTAHADAIKA TUMESGAAMSHWA NA M4C.

  piiiiiipoooooooooooooooooooooooooooooooozz!!!!!!!!!!!!! pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...