Matatizo tuliyonayo mda wa kuyatatua haupo...sasa hili la mwalawi nafikiri tuwachape tu watoke hapo

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
Tunauzoefu mkubwa sana wa kuchapa sio kuchapana sisi hua tunachapa....sasa hawa jamaa tunawaambia kistaarabu hawataki ni hivi huyu mama atatuvalisha khanga tukimmbembeleza acha tuweke heshima kidogo na askari wetu wafanye zoezi bana matatizo yetu tuliyonayo yenyewe mda haututoshi kuyatatua.....
 
Back
Top Bottom