Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ilikuwa kauli ya Mwalimu Nyerere miaka 58 iliyopita.
4 Reactions
42 Replies
4K Views
SIKU chache baada ya Serikali kuzitaka ndege zinazozunguka Ziwa Nyasa upande wa Tanzania kufanya utafiti wa mafuta kuondoka mara moja, Serikali ya Malawi imetii na kuziondoa kampuni zinazofanya...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema moja ya mambo yaliyohojiwa na wananchi wengi katika mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba Mpya ni mfumo wa uongozi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimejaribu kuchunguza juu ya tawala mbali mbali hasa kwny nchi yetu ya Tanzania, nikagundua kuwa dhana nzima ya NIDHAMU ya utumishi hasa kwenye utumishi wa umma IMEPOTOSHWA na badala yake imeletwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakaziwa mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha "Poeples Power", wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Uingereza yaitwisha serikali zigo la rada na Edson Kamukara Tanzania Daima WAKATI Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, ikisema kuwa hakuna rushwa kwenye kashfa ya ununuzi wa rada kutoka...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Sikubaliani asilan na maneno ya Profesa Issa Shivji kuwa iwapo Muungano utavunjika Wazanzibari ndio watakaoathirika sana. Kwanza suala la Wazanzibari kuwa wako wengi wanafanya biashara Bara na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (Chadema), amesema kitendo cha wabunge wameteuliwa kuwa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa kuendelea kuruhusiwa kushiriki katika vikao vya Bunge ni kinyume...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
<p style="margin: 0in 0in 10pt;" class="yiv78724396MsoNormal"> <p style="margin: 0in 0in 10pt;" class="yiv78724396MsoNormal"><font size="4"><font face="Calibri">Na Stephano Mango, Songea</font>...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sunday, 12 August 2012 00:21 Leon Bahati UGONJWA wa Ukimwi hautakuwa tena janga la kitaifa nchini miaka michache ijayo baada ya Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids) kueleza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nuru Maeda alidaganya vyombo vya habari kwamba alihamia CCM na wana-CHADEMA 15 na CCM wakajigamba kuwa waliibomoa ngome ya CHADEMA Arumeru. Huyu alikuwa mwenyekiti wa tawi la Magadirisho(CHADEMA)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sunday, 12 August 2012 00:10 Waandishi Wetu MTANDAO wa uhalifu wa kimataifa sasa umegeukia kwenye biashara haramu ya usafirishaji binadamu, Mwananchi Jumapili limebaini.Uchunguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni vyema kabla ya muungano kuvunjika tufahamishane mipaka ya baharini kati ya Tanganyika na Zanzibar mapema wakati huu bado tunaelewana. Maana hawa wazenji wasije wakaleta kama za Malawi...
2 Reactions
74 Replies
11K Views
Ofisi ya msajili wa vyama ni ofisi inayoshughulika na kazi ya usajili wa vyama vya siasa visivyo na mirengo ya kidini au kikabila kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Saturday, 11 August 2012 19:32 Godbless Lema CHADEMA YACHANGISHA FEDHA KUNUNUA HELIKOPTA , VIJANA WAONGOZA JAHAZI Raymond Kaminyoge MBUNGE wa zamani wa Arusha Mjini, Godless Lema...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Kwa dhati kabisa, huwezi kuongelea watu ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza na kuimarisha demokrasia bila kumtaja mh Mbowe na viongozi wengine wa Chadema. Tangu Mbowe amekuwa kiongozi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mh, Rev. Peter Simon Msigwa mbunge wa Iringa mjini hivi majuzi kwa umahiri na umakini mkubwa akiwasilisha maoni ya kambi rasmi ya upinzani bungeni kwenye hotuba ya wizara ya maliasili na utalii...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Waswahili husema,"HUKUNA JIPYA CHINI YA JUA"..Hivyo chadema isidhani inafanya jambo jipya,kwanini??... 1.wananchi kuamka kushabikia vyama vya siasa si jambo la kwanza,huwa ni kawaida yao kuibukia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa diwani wa Kata ya Iyela(Mbeya mjini) kwa tiketi ya CCM, Dominic Tweve amefariki dunia siku ya alhamisi(9/August/2012). Chanzo na sababu za kifo chake hakijawekwa wazi. Ninawapa pole...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom