Operation Sangara Ya CHADEMA Yaingia Ulanga (picha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Operation Sangara Ya CHADEMA Yaingia Ulanga (picha)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Aug 11, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.
  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka katika kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga

  Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hatua kwa hatua morogoro inaangukia chadema.wapogoro wakielewa tuhamie kwa waluguru na wasagara.
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  No fear, no distraction, Go Dr Slaa Go!!!!
   
 4. m

  moseskwaslema Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we shall coliect our deads,heal our wounds and aluta continue
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  GO CHADEMA GO ...:UONGOZI IMARA NA MADHUBUTI KAMA HUU WA DR SLAA NA TIMU YAKE NZIMA KOTE NCHINI WATANZANIA TUKAUPATE WAPI TENA NJE YA CDM???

  Mkuu Kapotolo, kwa mtaji wa neno hilo moja tuu hakika UMEKUA NI KITOVU CHA FURAHA moyoni mwangu kwa siku ya leo.

  Mbali na uchokozi wa makusudi dhidi yetu sote kama taifa la Tanzania kutoka kwa jirani zetu WaMalawi, jambo ambalo linatuhusu sote bila kujali tofauti zetu za nyumbani kisiasa, hakika CHADEMA kimeonyesha bila kigugumizi chochote kile kwamba ni CHAMA KISICHOYUMBISHWA NA MATUKIO MENGINEYO HASA YALE YA KUCHONGA hata kikapoteza DIRA NA MALENGO katika msururu wa mpangilio wa majukumu ukombozi kilq kona ya nchi yetu.

  Go, CHADEMA go, go, go for what is MOST DEMOCRATIC to everyone and not only to the super-rich few and the mega-corrupt sections of our society!!!

  Go Dr Slaa, go as we are all with you all the way to the very logical end of things in realising people power yet for once - our society's most disgustingly and greedily lost DIAMOND that historical cross-sectionally held us together as ndugu!!!


   
 6. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  aluta continua, hao jamaa wa huko ninavyowafaham walivyo na mahaba ya dhat na ccm,wakimuelewa slaa vizuri na wakamkubal basi tanzania nzima kitaeleweka.
   
 7. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Great idea! Go! Go! Go! CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ngoja magamba wata tia timu muda si mrefu kuchafua thread
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nape anapanga Ziara kwenda kujaribu ku rescue situedheni. Nimemwacha anajaza imprest form ya wiki mbili kilombero
   
 10. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umoja wetu utatufikisha tu
   
 11. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Nape anaelekea kukata tamaa, mziki wa CHADEMA ni mzito mno.
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hivi ccm wapo kweli
   
 13. Walikughu

  Walikughu Senior Member

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shigela yupo Tanga lakini hakuna kitu ni maumivu tu
   
 14. B

  Bob G JF Bronze Member

  #14
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi thithiemu bado ipo? M4C ni maumivu kwa mabaki ya ccm
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tangu awali nimeshasema M4C haitawabakiza kamwe mafisadi!

  Hili zoezi litaendelea mpk kieleweke jamani!
  Na wataotaka wanywe sumu kwa ufisadi wao yani wanywe tu!

  Viva CHADEMA (M4C) juu juu juu juu zaidiiiiiiiiiii!!
   
 16. N

  NG'ONGOVE Senior Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapo ila sebene la cdm limewapotezea step, sasa wanaugulia machungu tu.
  Kwa sasa cdm imebaki kuwatimulia vumbi magamba na kuwamwagia matope.
   
 17. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Amamandlaaaaaaaa
   
 18. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  It's like Udzungwa Mountain Comparing with Kilimanjaro Mountain, ccm vs CDM. Kazi wanayo, hadi 2015, kitaeleweka tu! Peoples.....POWER

  TOGETHER WE CAN BRING THE CHANGES WE DESERVE..........YES WE CAN!!!
   
Loading...