Aliyekuwa diwani wa Kata ya Iyela(Mbeya mjini) kwa tiketi ya CCM, Dominic Tweve amefariki dunia siku ya alhamisi(9/August/2012). Chanzo na sababu za kifo chake hakijawekwa wazi.
Ninawapa pole ndugu, jamaa, marafiki na wananchi wa Mbeya kwa msiba huo.
SOURCE: TBC-taifa
Ninawapa pole ndugu, jamaa, marafiki na wananchi wa Mbeya kwa msiba huo.
SOURCE: TBC-taifa