Chadema kasimama wima,basi na aangalie asianguke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kasimama wima,basi na aangalie asianguke

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Frank lwakatare, Aug 12, 2012.

 1. F

  Frank lwakatare Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waswahili husema,"HUKUNA JIPYA CHINI YA JUA"..Hivyo chadema isidhani inafanya jambo jipya,kwanini??...
  1.wananchi kuamka kushabikia vyama vya siasa si jambo la kwanza,huwa ni kawaida yao kuibukia vyama vinavyofanya vizuri na badae kuvikimbia.
  2>Tanu ilipambana na ukoloni,chadema nayo inapambana na ufisadi.
  3>Tanu ilikuwa na watu mashuhuri wenye mvuto kama mwalimu,kawawa n.k,pia chadema kina watu mashuhuri wenye mvuto kama akina lema,mnyika n.k
  4>Tanu ilikuwa na wanasiasa wenye migongano ya ndani kwa ndani,nayo chadema imeanza kuwa na migongano ya ndani kwa ndani pia.
  5>Tanu ilipoingia vijijini ndio ukawa mwisho wa ukoloni,pia kukubaliwa kwa chadema vijijini ndio utakuwa mwisho wa ccm.
  Hivyo basi chadema wasidhani mambo marahisi kama ilivvyo sasa kwao,wajipange kisawasawa kwani hata TANU ilikuja kwa mbwembwe na tambo za ajabu lakini alipopewa madaraka mambo ayakwenda kirahisi kama alivyodhani.kwa mtaji wa nguvu ya umma chadema ulionayo hivi sasa basi auinvest (auwekeze) kwa kizazi kijacho na sio uchaguzi ujao..
  Ndo hayo tuu and AM DONE!!
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hebu nirudie tena!
   
Loading...