Mkutano wa CHADEMA Ruaha, Kinamama Pipoooooooz..!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
290945818.JPG
Wakaziwa mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha "Poeples Power", wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa. (Picha na Joseph Senga via Habari Mseto Blog)

719400801.JPG

391303353.JPG
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruaha katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, wakinunua kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mara baada ya mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Willibrod Slaa, ukiwa ni mwendelezo wa kampeni za Operesheni Sangara. (Picha na Joseph Senga via Habari Mseto Blog)

Source: wavuti - wavuti
 
safi sana ongezeni juhudi makamanda,moro wamelala sana junahitaji japo majimbo manne 2015
 
Wamama wakishielewa cdm,oooh RIP CCM, mmezoea kuwatisha akina mama kuwa wakichagua upinzani kutakuwa na vita,wamambua hizo propoganda uchwala na kwamba kama ni vita mtaanzisha ninyi.Haiingii akilini eti upinzani wachaguliwe kisha waanzishe viti,hii hoja eti ritz haioni kuwa ni dhaifu anabaki kupambana na hoja za maana za viongozi wa cdm
 
safi sana ongezeni juhudi makamanda,moro wamelala sana junahitaji japo majimbo manne 2015
2015 ni kuchukua nchi, si baadhi ya majimbo. Wacha walionunuliwa na bwana zao waendelee kugawa hela wakidhani watawanunua wajumbe wa vikao vya uwakilishi. 2015 hadanganyiki mtu.
 
Nionavyo hali itakuwa mbaya kwa ccm na mbaya zaidi kwa serikali 2015,kutakuwa na matumizi makubwa sana ya pesa za serikali ktk kampeni za ccm,maana hawakubali kushindwa watarudia kampeni kila watakapopita chadema,watanzania tunapaswa kuelewa kuwa maisha magumu yanasababishwa na ccm ,hakuna wanachofanya wanaachia maliasili yetu inaibwa ambayo ingetuondolea umaskini.Big up ulanga naomba ndugu zangu wa kilosa waige mfano huo kwani akina mkulo wananeemesha matumbo yao tu
 
CCM inakufa taratiiiiibu

Kiongozi hapo kwenye red kasi imeongezeka sana! Nilikuwa kijiji flan huko Wilayani Magu about 28kms interior bumby road from the main road to Musoma lakini nilikuta wazee wametundika kwenye nyumba zao bendera za CDM! Sikuamini but that is the situation
 
The three photos made me shade tears of gratitude, believe me! VIVA M4C!
 
Mwenye wivu ajinyonge kwa kasi hii nafarijika sana,2015 tunakabidhiwa vijiti kiulaini.
 
Jamani sisi kwenye CCM siyo kwamba hatuyaoni haya mabadiliko,ukweli ni kwamba yanatugusa kwa namna tofauti na mnavyodhani. Tunayapenda ila tunajiweka sawa ili mtakapotubwaga tusife njaa. Tunavuna ya mwisho mwisho. Ndo maana mtaona kila anayepata nafasi anapora usiku na mchana, kwa kutumia fursa zote zinazojitokeza. Ndo maana vitendo vya ufisadi vinaongezeka ingawa tuhuma zinawekwa hadharani kila siku. Anayegungulika ni ajali kazini tu, anasaidiwa kuweka mambo sawa
 
polepole ndiyo mwendo. msimu wote mzidi kuwafikia wananchi wa vijijini na 2015 itakuwa ushindi wakihistoria
 
Back
Top Bottom