Nidhamu ya Uongozi

Lt. Canal

New Member
Aug 12, 2012
2
0
Nimejaribu kuchunguza juu ya tawala mbali mbali hasa kwny nchi yetu ya Tanzania, nikagundua kuwa dhana nzima ya NIDHAMU ya utumishi hasa kwenye utumishi wa umma IMEPOTOSHWA na badala yake imeletwa dhana mpya ya KUJALI MASLAHI BINAFSI KWANZA.
Unadhani chanzo chaweza kuwa ni nini na tunawezaje kusolve hili tatizo?
 
Wazo lako ni zuri. Hata hivyo, ungeanzisha majadiliano kidogo (hisia zako)kwa kuelezea kidogo nini kifanyike badala ya kuacha mada kavu kama swali la mtihani!
 
Back
Top Bottom