VIDEO: Dr Ulimboka arejea nchini akitokea Afrika Kusini kwenye matibabu. - YouTube
Dk. Steven Ulimboka amerejea leo nchini bna kutyoa shukrani za dhati kwa watanzania kwa dua na michango yao...
From the bottom part of my hart and brain I am expressing my feelings that the Tanzanian leaders are not serious with this issue. I am saying this simply because there are some indicators of...
Kwa takriban siku mbili nipo Tanzania na napata fursa kubwa kusoma magazeti ya nchi hii na pia kusikiliza radio na kuona TV mbalimbali za Tanzania hususan Bara naona kweli Maadili ya Uandishi wa...
Hali ya kisiasa wilayani Tarime inazidi kuwa tete baada ya jana mwenyekiti wa Chadema wilayani humo kuandika barua polisi kusitisha mikutano ya mwenyekiti wa BAVICHA John Heche. Taarifa za uhakika...
Kenya plans to construct a pipeline to supply oil to neighbouring Tanzania once it starts commercial exploitation of reserves recently discovered in Turkana County.
Energy minister Kiraitu...
Taarifa kutoka TAMISEMI, kwenda kwa maafisa wa Takwimu kwa njia ya fax, zinasema kuwa Waalimu walioshiriki mgomo wasiandikwe kusaidia katika zoezi la sensa. Je bila waalimu zoezi hili...
*Ahojiwa na Kamati ya Bunge kwa saa mbili
*Ni kuhusiana na tuhuma za rushwa
Mtanzania | JUMAPILI, AGOSTI 12, 2012 | NA MWANDISHI WETU
HATIMAYE Mbunge wa Same Mashariki (CCM) na Makamu Mwenyekiti...
Wan JF nimezidi kuingiwa na hofu kubwa juu ya visasi vya wazi wazi vinavyolipwa na viongozi wakuu wa nchi yetu zidi ya wananchi/wafanyakazi wake wanapodai haki.
Kitendo cha mh kuwakaanga...
Akitoa hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya Elimu msemaji wa kambi hiyo mheshimiwa Suzan Lyimo amesema Tanzania inapaswa kuingia kwenye world record kwa kuweza kufanikisha wanafunzi wa...
JUU YA MUUNGANO: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Nimesikitishwa na aina ya uandishi wa habari uliojiweka wazi katika taarifa iliyonukuliwa kuandikwa na mwandishi wa gazeti moja la kila siku...
UNESCO Fails to Protect World Heritage in Tanzania Monday, 6 August 2012, 1:42 pm
Press Release: ECOTERRA Intl UNESCO Fails to Protect World Heritage at Cradle of Mankind
Elephants...
Kampeni ya Kuchangia harakati za Mabadiliko M4C Nchini zitaonyeshwa Live kupitia Kituo cha Luninga cha Star TV kuanzia saa 2 na Nusu Usiku na lengo ni kukusanya shilingi Bilioni Tano.
Mratibu wa...
Ndugu wa JF
Naomba mnisaidie kufikisha taarifa hizi kwa viongozi wa Taifa CDM (MBowe na Slaa) kuwa kuna Kaimu mwenyekiti wa wilaya Tarime anahujumu CDM kwa masilahi ya CCM kwa kuzuia mikutano ya...
11 August 2012
Pichani Juu na Chini ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe akizungumza wakati wa Harambe ya Movement For Change M4C kampeni inayoendeshwa na Chama chake ambapo amesema...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeombwa kuyapatia ufumbuzi matatizo ya muungano yanayolalamikiwa na Zanzibar kabla ya kuanza kwa katiba mpya ya Jamhuri ya muungano Tanzania.
Mwakilishi wa...
Heshima kwenu wanajamvi,
Naomba kupata ufafanuzi kama viongozi wa ngazi za juu katika serikali ya Tanzania hususan Rais na Makamu wake, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Makatibu...
Watanzania tutambue umuhimu wa nafasi iliyo mbele yetu ya 'UTUNGAJI WA KATIBA MPYA' katiba tuliyo nayo ni ya miaka 50 iliyopita. mawazo na mazingira ya wakiti ule mbali ya kua yalikua ya wachache...
Katika hali ambayo si yakutengemea kwa wana C.C.M,hususani viongozi wa ngazi za juu za chama hicho tawala nchini wamejikuta wakiwa wamengawanyika sana katika masuala yanayohusu uchaguzi wa umoja...
WanaJF tuko Malinyi katika Jimbo la Ulanga Magharibi. Dr Slaa sasa hivi anahutubia na kushangaa jinsi Bunge linavyoshindwa kutetea maliasili za taifa. Dr pia anaonyesha kitambulisho chenye rangi...
1) Maisha magumu kwa watanzania wengi yaliyosababishwa na UFISADI wa viongozi wa serikali ya CCM
2) Dhuluma ya ardhi na unyanyasaji kwa wananchi unaosimamiwa na serikali ya CCM chini ya Mwamvuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.