Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya wananchi hapa ruaha wamegomea kabisa suala la sensa hali iliyosababisha makarani wa sensa kuziekea baadhi ya nyumba X ili zije zishughulikiwe kisawasawa kwa kugoma kuhesabiwa,kesho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kwa siku mbili mfululizo nilikuwa kijijini Mahango, Kata ya Madibira, Mbarali, Mbeya. Huko niliongozana na wageni kutoka Uingereza waliokwenda kushiriki kazi ya ujenzi wa Maktaba...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jumamosi, Agosti 25, 2012 06:43 Na Waandishi Wetu, Dar na Mikoani HARAKATI za kuwania uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeshika kasi baada ya makada wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi. Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wafuasi wa Chama hicho katika tawi la CUF Kilimahewa mjini Zanzibar, baada ya kukabidhi vespa tisa kwa ajili ya makatibu wa majimbo kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akizungumza jana mjini Tabora, Sitta alisema kuwa mahakama ina mamlaka yake kisheria, hivyo wana CCM hawana budi kuyaheshimu maamuzi hayo kwani imefanya kazi yake inavyotakiwa. chanzo;pamoja dot com
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Udhaifu wa zoezi la sensa jijini Mwanza umeingia hatua nyingine tofauti na ya jana ya kuchelewesha malipo ya makarani wa sensa iliyowekwa hapa. Udhaifu huo wa jana haukuishia kufanya makarani...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Baadhi ya madiwani wa Sengerema mkoani Mwanza, wamemuumbua aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, baada ya kubainika kutojua taratibu na kanuni za uendeshwaji wa mabaraza ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jumamosi, Agosti 25, 2012 06:41 Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willibroad Slaa, amesema kitendo...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Ule mkakati unaoratibiwa na Sheikh Ponda Issa Ponda wa kushawishi waislam wasishiriki zoezi la sensa lililoanza leo linaelekea kutopata mafanikio baada ya waislam walioweka mabango majumbani kwao...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni kitambo toka afahamike kama mtu machachari na anayejiamini na msimamo endelevu kwa manufaa ya wengi Hakika ni wachache wenye ujasiri huu, au kuishi ndani ya siasa bila kuchuja kwa muda mrefu...
7 Reactions
108 Replies
10K Views
Katika hali ya uonezi wa walalahoi leo kali kuliko waliobomolewa nyumba baada ya kuuziwa viwanja na serikali za vijiji husika waitwa mungiki na sio raia wa tanzania ili kutoa ruhusa kwa dhuluma ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye yuko live Star tv anadadavua kwa makini taratibu za uchaguzi ndani ya CCM.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Waliochukua fomu kuwania nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi wametoa malalamiko kuwa wametozwa kiasi kikubwa cha fedha ya kuchukulia fomu tofauti na kiwango kilichopangwa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii nimeipata ikiwa bado ya moto, na mimi nimeileta hivyo hivyo ikiwa bado inachemka, ili JF iwe the first to break this news!. Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro, ameachia ngazi...
13 Reactions
156 Replies
12K Views
Hichi kinchi kidogo, lakini tangu kampuni la kiingereza lisimamishwe kuingia Tanzania kutafuta mafuta kinchi hiki kimekuwa center of attention ya hawa watu! Is this a reason to remain alert? by...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Mkuu wa wilaya ya Nkasi , Idd Kimanta akiangua kilio jana akisikitikia na kuona uchungu utendaji wa ovyo wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani...
1 Reactions
91 Replies
10K Views
Licha ya baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es Salaam kukosa umeme hivi karibuni, lakini Shirika la Umeme nchini (Tanesco), limesisitiza kuwa hakuna mgawo wowote utaofanyika hivi sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu watanzania wenzangu,katika kupitia magazeti mbalimbali yanyoaminika na kuheshimika mbele ya umma wa tanzania nimekutana na makala katika gazeti la mwananchi,nimeona niwaonjeshe utamu wa hii...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom