Polisi kuita raia wa Tanzania Mungiki haikubaliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi kuita raia wa Tanzania Mungiki haikubaliki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Aug 26, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya uonezi wa walalahoi leo kali kuliko waliobomolewa nyumba baada ya kuuziwa viwanja na serikali za vijiji husika waitwa mungiki na sio raia wa tanzania ili kutoa ruhusa kwa dhuluma ya wenye hela zidi ya maskini hao. Wapo wanajeshi walio dhulumiwa pia its too sad.
  Mwisho wa siku kitaeleweka tu
  Jiulize ndugu zako wote wakiambiwa watoe nyaraka kuwa wao ni raia je wanavyo?
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tumeambiwa hao 'wavamizi' ndo wanajiita Mungiki.
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nchi ni kubwa, kwa nini mubanane huko huko??????????????????????
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,287
  Trophy Points: 280
  Watanzania Mungiki wana kiongozi wao yuko Magogoni
   
Loading...