Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
JK: Aendesha Kikao Cha Kamati Kuu Ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao mcha Kamati Kuu cha CCM leo Agosti 24, 2012 jijini Dar es salaam...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Haya wanasheria wa vijiweni na mashabiki wa kisiasa naomba maoni yenu. Kutokana na ukweli kuwa katika kesi ya ubunge Igunga , Mbunge wake Dr Kafumu ameangushwa kutokana na sababu nyingi. Lakini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanajamvi, si jambo geni kuwa chadema haiko katika good term na vyombo vya dola. Ni kutokana na madai kuwa dola inakihujumu chama hicho katika harakati zake za kuongoza nchi. Mimi sina uhakika na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimemsikiliza Dr Kawambwa waziri mwenye dhamana ya kusimamia elimu nchini kwenye serikali hii ya JK nimesikitika sana na mwisho kubaini kabisa hastahili uwaziri. Anaeleza wamelazimika kutoa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Baadhi ya viongozi wa CCM na CUF wilaya ya Magu Mkoani Mwanza wamejiuzulu nyazifa zao na kujiunga na CHADEMA kwa madai kuwa wamelenga kuwatumikia wananchi kikamilifu. Source: ITV​
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mh naibu waziri naona umeamua kugawa jepikipiki kwa vijana wako ili mshinde udiwani kata ya Mtibwa,sisi tunahoji uhalali wa kutoa zawadi hizo wakati huu wakati uchaguzi wa diwani umetimia. kumbuka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tatizo kubwa la kwanza la serikali ya Tanzania ya CCM ni (1) Sheria hazifuatwi kwa watu wenye uwezo na mafisadi (2) Rushwa iko wazi na hakuna linalofanyika. Bila kutatua haya matatizo wananchi...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Mh. EDWARD LOWASSA amemtaka Gavana wa Benki kuu kuelezea umma ni kwanini mfumuko wa bei haushuki. Je alipokuwa serikalini alikuwa halioni hili? Au...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kesho nitawawekea video ya mkutano wa chadema reading ambapo mtaweza kusikia jinsi jamaa yetu Mwigulu Nchemba atajuta kwa nini alivalisha mbwa bendera ya chadema.# Swali kwa mwigulu, JEE UNAJUA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwamba Al Shaabab wamekuwa wakipata mamilioni ya dola kutokana na shughuli za uharamia huko Somalia. Lakini dalili zote zinaonesha kuwa fedha hizo huhamishwa na kuingizwa katika mifumo ambayo...
7 Reactions
64 Replies
7K Views
Makamanda ninadhani sasa ni muda muafaka kwa majemedali wetu wa CDM kuanza kutuambia ni mikakati gani wameiweka juu ya sera ya utawala wa nchi hasa katika mambo ya ulinzi na usalama, sera ya nje...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
General Davis Mwamunyange Mwamunyanga: Hatutaingia vitani na Malawi WIKI moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema Tanzania haina mpango wa kupigana na Malawi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi huyu aliekuwa mtendaji mkuu wa TANESCO (Mhando) na wenzake wanastahili adhabu gani kwa kutengeneza mgao wa maksudi hadi yafuatayo yakawaathiri ambao kimsingi wanaishi maisha ya chini kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilitakaa kushangaa kama BBC swahili wasingerusha habari za chadema na machafuko Morogoro,kama walinisikia wakarusha,habari yenyewe too bias, eti polisi wasingeruhusu maandamano wakafunga barabara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nairat: Ninaumwa ugonjwa wa ajabu, nisaidieni NI MTOTO MDOGO AMBAYE AMEKATISHA MASOMO KUSAKA MATIBABU Sunday, 26 August 2012 Salma Said NAIRAT Hamis Ali ni mtoto wa miaka saba aliyelazimika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoa taarifa aliyepo Morogoro ambaye juzi alinijuza kuwepo taarifa ya kujiuzulu katibu wa mkoa huo na mie kuitoa kama tetesi JF na baadae kuthibitika. Sasa amenijulisha kuwepo mpango wa kumng'oa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jumapili, Agosti 26, 2012 06:46 Na Abdalah Amir, Igunga Dk. Wilbrod Slaa *Asema uchaguzi ukirudiwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kutokana na kilichoelezwa kuwekwa kwa lami chini yakiwango katika mlima Sekenke mkoani Singida, imeharibika vibaya kama inavyoonyesha pichani magari yakipita kwa shida baada ya lami hiyo kubomoka...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
• AWAAMBIA ADUI WAO NI RAIS KIKWETE, CCM na Abdalla Khamis na Ghisa Abby KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewasihi walimu nchi kutomaliza...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom