CCM wachakachuana kiwango cha fedha ya uchukuaji fomu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wachakachuana kiwango cha fedha ya uchukuaji fomu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjukuu wa bibi Pili., Aug 26, 2012.

 1. Mjukuu wa bibi Pili.

  Mjukuu wa bibi Pili. Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliochukua fomu kuwania nafasi mbalimbali ndani ya chama cha mapinduzi wametoa malalamiko kuwa wametozwa kiasi kikubwa cha fedha ya kuchukulia fomu tofauti na kiwango kilichopangwa na chama,wengine watozwa 20000,wengine hadi laki moja,Nape asema kiwango ni shilingi 10000.

  Sorce Star tv
   
 2. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dhambi ya ubaguzi
   
 3. HASSAN SHEN

  HASSAN SHEN JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumeyazoea hayo magamba,acha yanyooshane.
   
 4. U

  Udaa JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wamesahau vitendo vyao kwa wananchi,mkuki kwa mlipa kodi ehee.
   
 5. U

  Udaa JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bado kuuana tu,kama alivyofanya yule meya mwz wakati ule,ktk mchakato wa kura za maoni za ubunge.
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Who speaks 4ccm is who have dead's brain.
   
 7. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,780
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  sitashangaa wakiibiana kura siku ya uchaguzi
   
 8. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Wapigane risasi kabisa wafe!!!
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hapa tutachangia nini kama siyo umbea? Tuko busy na sensa, umbea mwingine mngekuwa mnamalizia kwenye mikeka huko majumbani akina mama jamani
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa mnajitahidi kuapiga majungu lakini wako imara, bora mpige kimya tu, CCM naona kama wako systematic kinoma,
   
 11. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  CCM wanachakachua kila kitu kuanzia nchi chama hata wao wenyewe wamechakachuliwa na tabia yao ya kuchakachua. Ila mwisho wao naona uko mlangoni mwao ukiwangoja uwatose kwenye sahau ya kihistoria.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  akili ikichanganyika na mchuzi wa nazi haya ndo matokeo yake sasa
   
Loading...