Katika taarifa ya habari ya leo ITV ni maeneo kadhaa nchini yameonyeshwa kuwa na adha kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama.
Miji ambayo imeonyeshwa katika taarifa ya habari hiyo ni mkata...
Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:46 Na waandishi Wetu, Mikoani
KINDUMBWENDUMBWE cha kuwania nafasi ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimezidi kushika kasi...
Kigogo mmoja wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Tanga, anadaiwa kula njama na kufanikiwa kupata Sh. milioni 2 kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete.
Kigogo huyo aliyetajwa kwa jina moja la Masingisa...
Mbunge wa jimbo la Nyamagana mh Wenje(Chadema) atakuwa na mkutano mkubwa wa hadhala leo ktk uwanja wa Sahara ili kuzugumza na wapiga kura wake mambo mbali mbali yanayohusu jimbo la Nyamagana na...
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana (Bavicha) Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche ameweka wazi dhamira yake ya kutaka kugombea ubunge katika jimbo la Tarime mkoani Mara...
na Mwandishi wetu
BAADHI ya vijana wanaowania uongozi kwenye Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wamelalamikia vitendo vya kuwabeba baadhi ya wagombea.
Wakizungumza na...
Nani anasema M4C haitaiingiza Chadema madarakani 2015? Katika mkoa wa Morogoro ambao ni ngome ya ccm chadema imeweza kujizolea wanachama wapya 31,337 na kupokea kadi za CCM 8,000. Wananchi wa...
Baraza la bakwata latoa tamko kuwataka waumini kushiriki katika sensa ya mwaka huu ili kuiwezesha serkali kuendelea kuboresha mahitaji ya watanzania,pia sheikh mkuu amewaambia waendelee kutetea...
Uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza ni jukumu la wana ccm makini wenye kujua wanatoka wapi wanaelekea wapi.! Ccm inahitaji kijana mzalendo mwenye kujua kiloleli b inahitaji ofisi ya...
Sat, Aug 25th, 2012
Tanzania |
Over 60 Chama cha Mapinduzi (CCM) cadres in Dar es Salaam Region have come out to collect forms for vying for five vacant posts at the regional level.
Chama...
Mwenyekiti wa CCM leo amewaita wajumbe wa kamati kuu ya CCM na kujadiliana nao maswala kadhaa katika kikao kinachofanyika Ikulu. Swala la uchaguzi Igunga na maamuzi ya mahakama huenda likapewa...
naomba kujua kwa nini huyo mzee tunaye muheshimu sana ameamua kususia kabisa jimbo lake aliloongoza kwa miaka mingi'ina maana kushindwa kura za maoni ndio sababu ya kulichukia jimbo?hii inaonyesha...
Nimeshuhudia baadhi ya wabunge kuwa ni wakuu wa mikoa tena mbali na mikoa ya majimbo yao.
Kama hili linawezekana je kwanini tusiondoe hiki cheo cha wakuu wa mikoa na mmbu wa endeo husika ndio awe...
Shikamoo babaa dokta makufulii?
Napenda sana utendaji, usimamizi na uwajibikaji wako katika kutumikia wananchi,
Sasa nimefika jiji la masamaki kuna kamvua kwa mbaliliiiii
so nilipitaga...
Na Pendo Fundisha, Mbeya MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, ametoa miezi miwili kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kurudisha zaidi ya Sh bilioni mbili...
nimekuja na tahadhari ya kwa watu sugu wasio itakia mema nchi yetu kwa sababu zao za ubinafsi na ufsadi kwa wasiingilie mchakato wa katiba wa sasa kuzuia matakwa ya walio wengi jinsi gani wanataka...
President Joyce Banda Sunday commended journalists in the country for their professional reporting on the wrangle between Malawi and Tanzania over Lake Malawi.
The President made the...
Ni siku ya ijumaa ambapo makarani wa sensa halmashauri ya manispaa ya Musoma walipokutana kupokea posho ya kazi ya sensa. Makaran kwa uvumilivu wao wamepewa pesa mida ya Saa kumi na moja wakikuta...
wana jf kwa mara nyingine naungana nanyi kwenye jf ili kutoa dukuku zangu kama mtanzania ili kwa pamoja tujenge nchi yetu ,tanzania itajengwa na watanzania wazalendo tu na si vinginevyo,kwa maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.