Baadhi ya wananchi wagomea sensa ruaha kilosa

JBK

Member
Aug 17, 2012
68
13
Baadhi ya wananchi hapa ruaha wamegomea kabisa suala la sensa hali iliyosababisha makarani wa sensa kuziekea baadhi ya nyumba X ili zije zishughulikiwe kisawasawa kwa kugoma kuhesabiwa,kesho nitaendelea kufuatilia nione hali inavyoendelea..nawakilisha
 
Halafu vyombo vya habari ktk taarifa ya habari usiku huu havijakubali kuonye watu waliogomea suala hili
 
Halafu vyombo vya habari ktk taarifa ya habari usiku huu havijakubali kuonye watu waliogomea suala hili
Nyombo vya habari havideal na wehu, nawashauri mgome na kupiga kura 2015 ili watu wenye akili timamu ndio wachaguwe viongozi.
 
Zile sehemu ambazo zipo nyuma kimaendeleo ndio wanagomea sensa ajabu sana ! mbona kupiga kura hamgomei au mnaenda kulipa pilao za watu mnazokula na fadhila ya mavazi yaani t-shirt kanga na kofia mnazopewa? Mngeacha na kupiga kura ila watu wale sensible tu ndio wapige ungekuta tushawang'oa hawa mafirauni siku nyingi!!
 
Back
Top Bottom