Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wizara husika angelieni upya maamuzi yenu ya vibali vya biashara ya uuzaji wa mahindi ambayo imezidi kushamiri kutokana na njaa iliopo Somalia pamoja na Kenya. Gunia la plastiki sita kwa hapa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Monday, 27 August 2012 | Ibrahim Yamola SERIKALI inazifanyika kazi tuhuma 175 za kulihujumu Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zinazowahusu baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo na Wizara ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unaupimaje utendaji wa Waziri wa uchukuzi? Katika ITV ya usiku wa leo nimemwona Mkuu wa uchukuzi akitia for a kwa vioja na kuonyesha hana taaluma ya utawala kwenye Nyanja zifuatazo:- 1)...
10 Reactions
137 Replies
8K Views
- AWASHANGAA WANAOIPA MUDA HUKU WAKIWAFAHAMU WAHUSIKA - ASEMA HAIWEZEKANI MWANASIASA KATIKA NCHI MASKINI AWE BILIONEA - ATAKA WAKAMATWE WAFIKISHWE MAHAKAMANI WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Huyu ndugu yetu alikumbwa na machungu yaliyomgusa kila mmoja wetu! Nchi nzima ilizizima, na kuamini (nakuweka msisitizo kwenye tunacho fahamu) kua vyombo vya dola ni wabaya. Tukajitolea kwa...
2 Reactions
84 Replies
9K Views
Aliyekuwa mgombea ubunge wa CDM jimbo la Igunga Joseph Kashindye amesema baada ya matokeo kutangazwa na kumpa ushindi batili mgombea wa CCM hakujua hatima yake itakuwaje. Hata hivyo amesema Dr...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, Mwigamba Samson Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha Amani Golugwa Mwnyekiti wa kikundi cha Serengeti akikabidhiwa katiba na kadi ya uanachama ya CHADEMA...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Hivi kwa mujibu wa katiba yetu, mtu anayepaswa kuwa mgombea urais wa Tanzania level yake ya Elimu ni kiasi gani cha elimu? Naomba kufahamishwa na si kutukunwa. Aulizaye hujibiwa! Kwenye uliza...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Huyu RC bila shaka alikuwa anajipendekeza mbele ya rais wakati JK anajiandikuisha sensa leo. alisema mbali na viongozi wachache wa dini ya Kiisilamu na waumini wengine wa dini hiyo wanaoeneza...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wananchi; Imekuwa ni mazoea yetu kuwa Rais huzungumza na taifa kila mwisho wa mwezi. Lakini, leo nazungumza nanyi siku saba kabla ya mwisho wa mwezi kwa sababu maalum. Sababu yenyewe si...
0 Reactions
130 Replies
12K Views
The newly completed headquaters of the East African Community in Arusha, Tanzania The construction of the headquarters to accommodate all the regional bloc’s organs was financed through a 14...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Tanzanian government is yet to take up a challenge made by the Swiss Ambassador, Mr Adrian Schlaepfer, over his country's readiness to cooperate with Dar es Salaam in returning any ill-gotten...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
hawa ni watu ambao kila mtu amelikoroga kivyake. hata hivyo, mmasai ana nidhamu kidogo. alipoona limebumbuluka, yeye alijiengua kwenye reli. lakini hiki kichwa kinaitwa hosea kila nikifikiria...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Asubuhi ya leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha BBC NA radio one walikuwa wanazungumzia elimu nchini Tanzania kama inakidhi viwango.kwaujumla walijaribu kugusa karibu wadau muhimu wakiwemo walimu...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Ripoti ya uchunguzi wa madhara ya sumu kwa wananchi wanaozunguka mgodi wa North Mara uliopo Nyamongo wilayani Tarime, imethibitisha kuwa wakazi wa maeneo ya jirani na mgodi huo wameathiriwa na...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
KASHFA YA RADA Mwandishi Wetu Toleo la 255 22 Aug 2012 Akiri kasoro ya Bunge, asema maji yakimwagika … Zitto asema Bunge lilipaswa kuunda kamati ya kuchunguza Kuharibika kwa rada hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiongozi wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa leo anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Igunga kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano...
2 Reactions
116 Replies
9K Views
KUNA hatua za makusudi zinazofanywa na serikali na vyombo vyake, kuzua mambo na kudanganya katika sakata la utekaji na uteswaji wa Dk. Steven Ulimboka. Lengo la hatua hizo, ni kuhamisha mjadala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom