Nini kinaendelea Malawi?

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,017
7,220
[h=1]Hichi kinchi kidogo, lakini tangu kampuni la kiingereza lisimamishwe kuingia Tanzania kutafuta mafuta kinchi hiki kimekuwa center of attention ya hawa watu!
Is this a reason to remain alert?
by the way, mazungumzo ya mpaka yamefikia wapi?

Ex-British PM Tony Blair to visit Malawi[/h]
By Thom Chiumia, Nyasa Times
August 24, 2012 · 48 Comments Email This Post

Former British Prime Minister, Tony Blair, is expected to make a visit to Malawi this month end which will be another boost to the presidency of Mrs Joyce Banda.
A senior government official confided to Nyasa Times that Blair is scheduled to hold talks with President Banda on August 30.
However, officials in the Foreign Affairs Ministry could not give more details of the programme of Blair’s visit.
“We are planning around his programme,” said a senior government official.
“I can confirm that Tony Blair is coming to Malawi and will hold talks with President Joyce Banda on August 30,” the source added.
2BlairDowning_468x325-300x208.jpg
Blair: Coming to the Warm Heart of Africa, Malawi
Blair is also expected to hold talks with other government officials and various stakeholders.
“Blair runs the Africa Governance Initiative Foundation which wants to work with the Malawi government. The meetings will focus on areas Malawi government and the Foundation can work together,” the official told Nyasa Times.
The source also disclosed that Blair will be at an investment forum which is being organised by Ministry of Trade and Malawi Confederation of Chambers of Commerce and Industry.
“He wants to work with Malawi on a number of issues,” said the top government official.
Minister of Foreign Affairs said government will communicate the details of Blair’s visit to the nation later.
Blair’s foundation partners with Presidents in Africa “who are committed to making government work for the benefit of their people.”
The Tony Blair Africa Governance Initiative (AGI), founded in 2008, is pioneering a new way of working with African countries, equipping committed African leaders with the capacity to deliver the public services which their citizens have a right to expect, to tackle deep-rooted poverty, and to attract the sustainable investment to build strong economies for the future.

Source: Nyasatimes
 
Nini matokeo ya mkutano wa mzuzu?

Inaelekea matokeo siyo mazuri, maana siku ya kwanza mbwembwe zilikuwa nyingi. Baada ya hapo media za Tanzania na Malawi ziko kimya, walioenda kujadili nao wako kimya! Hata balozi wetu aliyenza kwa majigambo sasa yuko kimya!!!
 
Baada ya hapo media za Tanzania na Malawi ziko kimya, walioenda kujadili nao wako kimya! Hata balozi wetu aliyenza kwa majigambo sasa yuko kimya!!!

Kuna tetesi tangu juzi waandishi wawili wa habari wa Malawi wamekamatwa pale hotel
 
Kimsingi, wazungu hawajawa rafiki wa yeyote hata siku moja.Wao kikubwa kwao ni mali zetu hata kama ni kwa gharama ya damu za watu wetu.Viongozi wetu nao wamewekwa na wao na pia wanaogopa kuondolewa madarakani kama Gaddafi kwani si ajabu mzungu kuhamasisha uasi na mauaji ili wapate chao.Kupambana nao, inabidi uwe tayari kwa lolote, hata kuitwa gaidi.
 
Kwani kuna ubaya gani kutembelewa na Blair? Mleta Uzi naona kalewa wanzuki anafuatilia mambo ya nchi za watu wakati Chama cha mabwepande viongozi wa serikali yake wamelimbikiza mabilioni ya wizi huko uswisi anaacha hayo anakimbilia ya Malawi lazima atakuwa gamba
 
Niliposoma kuwa kuna waandishi wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya tresspass kwa kutaka kuripoti mazungumzo ya mpaka kati ya nchi yetu na Malawi nikapata picha kuwa kunaseriousness katika hili suala. Ni vigumu kubashiri mpaka sasa. Inawezekana barozi wetu ameonywa kwani ktk ule uzi wa Nyasa Times niliona wachangiaji walivyowashambulia viongozi wao wakidai anayepaswa kwa wa kwanza kukamatwa ni barozi watanzania kwa tabia yake yaku-post updates za mazungumzo ktk facebook page yake. Napata picha kuwa kwa hali ilivyo, tutalishwa mengi ya uongo so ni bora kusubiri mpaka official statement itakapotolewa. Kuhusu Blair, pengine siyo vizuri tukajadili ya watu. Ni bora tujadili yetu humu ndani. Tunayo matatizo mengi yanayohitaji maoni yetu kama lile sakata la ndugu zetu wanahujuma sensa ilihali makarani wanatoka dini zote.
 
Tuna haki ya kupewa taarifa sahihi kuhusu maendeleo ya mazungumzo ya mpaka.Waziri Membe funguka!
 
Original Poster,

Kama wakubwa wa dunia hii wanatembelea Malawi wewe ndiyo labda ufafanue inakuhusu nini hadi ulete thread kama hii.
Kwani Malawi imeanza kutebelewa leo?

OK, kama inaleta alert, wewe tatizo lako ni nini hata kama dunia nzima inawatembelea na hawakutembelei wewe?

Au una kinyongo cha Rais wako kukata mbuga dunia nzima na ukadhani relfection kwako ukadhani lazima state visiting nazo ziwe nyingi kuliko Malawi? Fafanua na jipange vizuri.

Wewe ndiye utuambie ni nini attention uliyoweka kuhusiana na Malawi wakati sisi wengine tunaona ni jambo la kawaida.
 
Mie napata hisia kuwa huu mpango ni wa muda mrefu hasa baada ya ile ramani kuonyesha hilo ziwa liko Malawi.Then hizi chokochoko zilipoanza,huyu mama alikubali haraka sana wazo la mashoga.kisha mama Clinton kapay visit huko,saa hizi Blair.Pengine ni mapema sana kuliongelea hili ngoja tusubiri.Lakini nina wazo moja.Kuna yule mzee aliandika vitabu vya Jiographia na alitengeneza ATLAS, anaweza akatusaidia.Kwa watu walo karibu naye wanaweza kutusaidia kwa hilo.Anaitwa Mzee Mbando.anaweza naye akatupa mchango wake,wakati wa kuchora ile ramani ya Tz,alielekezwa mipaka ni ipi.Ni wazo langu tu.
 
Ninavowajua wazungu tayari itakuwa kuna potential kubwa ya mafuta na gas pale ziwa nyasa..

Kama ni kweli kuna potentials katika ziwa hilo basi ni dalili tosha kwamba ziwa na la nani. Maana mwenye title ndiye hufuatwa kwa mazungumzo kwa kila kilichomo kwenye title yake?
 
wao wanatembelewa na former prime minister, nakumbuka sisi tulitembelewa na former US president G.W.Bush tena alikaa siku nyingi tu na hakwenda malawi sasa mchecheto wa nini na wao kutembelewa?
 
Niliposoma kuwa kuna waandishi wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya tresspass kwa kutaka kuripoti mazungumzo ya mpaka kati ya nchi yetu na Malawi nikapata picha kuwa kunaseriousness katika hili suala. Ni vigumu kubashiri mpaka sasa. Inawezekana barozi wetu ameonywa kwani ktk ule uzi wa Nyasa Times niliona wachangiaji walivyowashambulia viongozi wao wakidai anayepaswa kwa wa kwanza kukamatwa ni barozi watanzania kwa tabia yake yaku-post updates za mazungumzo ktk facebook page yake. Napata picha kuwa kwa hali ilivyo, tutalishwa mengi ya uongo so ni bora kusubiri mpaka official statement itakapotolewa. Kuhusu Blair, pengine siyo vizuri tukajadili ya watu. Ni bora tujadili yetu humu ndani. Tunayo matatizo mengi yanayohitaji maoni yetu kama lile sakata la ndugu zetu wanahujuma sensa ilihali makarani wanatoka dini zote.

Ndiyo matokeo ya ushabiki wa kijinga kushabikia kama simba na Yanga. Nilikuwa mtu wa kwanza kabisa humu kupinga alichoeleza Balozi yule kwa utoto wake wa kidiplomasia alipoishia kusema presentation ya Tanzania ilikuwa ni sawa na PhD, halafu anaishia kutaja wamepresent ramani!

uduni mwingine wa balozi huyo ni kuadhani internet ni private place kama unavyoongea na mke wako nyumbani. Hivi wewe unaponda nchi ya watu na wewe uko humo tena unaiponda kwenye facebook halafu unaishia kujiamini kwamba wamalawi hawatajua eti kwa sababu umeandika kiswahili.

Ni ushamba wa kiwango cha kutisha!!
 
Back
Top Bottom